Tetesi: Israel kuishambulia Iran kesho Oct 07, 2024

Tramp anataka Israel ifanye sasa balaa lake ikulu y white House ikiwa chini y democrat lawama ya kile kitatokea wabebeshwe democrat chini ya Biden, akiwa yy ikulu atotaka kumchokozq muIran mana anajua wale zaid ya wahuni na awana chakuofia kelele aziwatoi ktk reli anakumbuka aliwapiga mkwala kila siku wasilipe kuusu qasim sureiman ama atawaangamiza akatuma adi B-52 bomba 😂😂 lkn wahuni w Iran awakumuelewa wakachapa vibaya kambi 2 za jesh kisha wao ndio wakampa mkwala tramp kuwa ichokipigo ni kibao tu jalibu tukunyooshe tramp katoka mbioi yeye adi Leo wanakaa mbali na waIran seem tramp janja ataki mzozo umkiutie nyy ikiwa atakuwa president w USA wamalize kabisa mambo yao na muirani 😆😆😆
Hamna mtu muoga anaogopa kifo kama mvaa kobazi anashambulia halafu anakimbilia Kwa kina mama na watoto kujificha,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa mujibu wa vyombo mbali mbali vya habari vimesema kwamba Israel inajiandaa KUISHAMBULIA Iran apo kesho Oct 07
Kama kumbukizi ya shambulio la Oct 07 lililofanywa na hamas Kule Israel,
Tayari wakuu wa kijeshi wa Israel walikutana na kupanga mipango ya kuishambulia Iran kesho tar 07,
Inasemekana Israel huenda ikafanya shambulio kubwa kuwahi kutokea katika ardhi ya Iran,
Vinu na visima vya mafuta ni miongoni mwa target kuu itakayolengwa na Israel apo kesho,
Marekani imekuwa ikiwaomba Israel wasishambulie visima vya mafuta vya Iran Hali ambayo imepingwa na netanyahu.

Kesho mbali.

Jana ingewafaa zaidi.

Tangu lini taifa teule likawa na simile?
 
Niwatakie Israel kila la heri kwenye hilo Shambulio la kushambulia Iran

Tuombe

Eee Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo uliyesimama na taifa lako la Israel ukawasaidia kuzamisha majeshi makubwa ya nchi kibao hata walipoinuka kupigana na baba yetu Ibrahim na familia yake ulimsaidia Ibrahim baba yetu kuwatandika wafalme wenye majeshi wakati yeye hakuwa na jeshi wala nchi alikuwa na wafanyakazi wake tu wa ndani houseboys tu akawashinda mataifa yenye majeshi na majenerali

Taifa lako, Farao wa Misri mtawala wa dunia mwenye majeshi yenye nguvu alipowafuatilia watu wako Taifa la Israel wakiwa hawana silaha yeyote.uliwapigania taifa lako Israel ukazamisha majeshi yote ya misri na silaha zao nzito za kijeshi na kuwapa ushindi taifa lako Israel

Goliathi komandoo na mkuu wa majeshi mfilisti mpalestina mwenye mafunzo mazito ya kijeshi na komandoo aliyeiva na zana za uhakika za kivita alipopambana na Israel kijana mdogo myahudi Daudi mchunga mbuzi mwenye manati asiye na mafunzo yeyote ya kijeshi Mungu ulihakikisha Daudi muisrael anampiga Goliathi mfilisti mpalestina kipigo cha mbwa koko na kumuua

Ee Mungu sasa Taifa lako Israel liko vitani na mjukuu wa Goliathi ,Ayatollah wa Iran na mavifaa yake ya kivita yaliyosheheni kila silaha na huyu Ayatollah ana mbwembwe kama za babu yake Goliathi na mjomba wake Hamani aliyejiapiza kufuta waisrael wote duniani .Ayatollah kajiambiza kama alivyojiambiza Hamani kufuta wayahudi na taifa la wayahudi

Tunakuomba Eee Mungu liwezeshe Jeshi la Israel chochote wakilenga Iran wasikose shabaha hata kama si walengaji waxuri basi wakirusha risasi au kombora nk visikose target wakilenga vibaya malaika wa vita waongoza taifa la Israel vitani hiyo risasi, au kombora walipindishe kona lielekee kwenye target sahihi ili pale lilipokusudiwa kupiga lipige hapo iwe kwenye fuvu la kichwa cha Ayatollah au popote

Tunaomba hayo na kuamini kwa Jina la Yesu kuwa itakuwa hivyo

Na wote tuseme Amina.
 
Aisee watu mnambwembwe hamuamini kabisa kama zayuni kashindwa kurudisha mapigo mpaka sasa na mpaka sasa mnajipa matumaini na mkasahau pia kama ndani ya mwaka huu tayari muisrael kachapika nyumbani kwake mara mbili asee.
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo jeshi la Iran linavyokosa amani kujua hatma ya kisasi cha Israel kitakuwa ni kipi kwao.
Iran hawawezi kukosa amani anayekosa amani ni Israeli kwakua hajui Iran ataamua vipi baada ya yeye kulipiza
 
Tanzania raha kwa kweli sihami mtu iko Ikwiriri Mtwara anatawa taarifa kutoka Telviv Israel, huwezi kua na stress ukiwa bongo hawa wajinga wanakuondolea stress unawaona kama comedian.
Hujui dunia ni kama mtaa tu siku hizi?Habari zote watu wanazo.Acha kuzubaa na hadithi za Ikwiriri.
 
Back
Top Bottom