Harmonize wa Jf
Member
- Jan 6, 2022
- 56
- 336
Kwa mujibu wa vyombo mbali mbali vya habari vimesema kwamba Israel inajiandaa KUISHAMBULIA Iran apo kesho Oct 07
Kama kumbukizi ya shambulio la Oct 07 lililofanywa na hamas Kule Israel,
Tayari wakuu wa kijeshi wa Israel walikutana na kupanga mipango ya kuishambulia Iran kesho tar 07,
Inasemekana Israel huenda ikafanya shambulio kubwa kuwahi kutokea katika ardhi ya Iran,
Vinu na visima vya mafuta ni miongoni mwa target kuu itakayolengwa na Israel apo kesho,
Marekani imekuwa ikiwaomba Israel wasishambulie visima vya mafuta vya Iran Hali ambayo imepingwa na netanyahu.