Ishi na mwanamke kwa akili ina maana gani?

Wanawake tuna akili sana,sometimes tunapotezea tu.mie nilizaa na mtu,wakati akiwa hana kitu nikampenda tukaanza mahusiano akinidanganya mie ndio mkewe hadi tukapata mtoto.nilipopata ujauzito akarudiana na ex wake ambaye alimwacha kwakuwa hakua na kitu ,ila nilipokuwa naye akawa vizuri so akanigeuka.

Niliumia nikalea mimba hadi kuzaa na kuendelea kulea mwenyewe,ila nilijiapiza sitakaa nimsamehe hadi nimlize sema sikumwambia.nikawa nalo moyoni .

Mungu si athumani wiki kama tatu akanipigia simu,ana ishu yake nimsimamie kazini kwangu,kuwa kwa ajili ya mwanetu nimsaidie deal itik,nikamjibu usijali nitakusimamia.ilikuwa deal ya kama 1.5bil,nikajiambia moyoni,wakati ndio sasa.

Amini nimechangia kwa asilimia 100,kumnyima ile deal,sema sikumwambia na saivi roho yangu nyeupe full burudani.hadi leo analialia.kama ni mali kwaajili ya mwanangu ntatafuta mwenyewe kwa uweza wa manani.
Kisasi ni kwa watu wadhaifu!ulishafikiria unaweza kufa na mwanao akaenda kuishi na babake ambaye alosto na ulisababisha wewe!kweli andiko limetimia
 
Hamjambo wapendwa! Ni kweli kabisa kwamba wanandoa huoana wakiwa na baadhi ya udhaifu ambao hutakiwa kubebeana ili waendelee kuishi katika furaha hata wazeeke wakiwa pamoja. LAKINI wakati huo huo biblia inasema ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI, je msemo huu una maana gani? Je mwanamke ana akili sana hata imbidi mme wake awe makini sana na yeye au la una maana nyingine. KARIBUNI KWA MICHANGO YENU ENYI WABARIKIWA.
Maisha ya mwanaume na mwanamke ili yaende yanategemea sana akili ya mwanaume,unapaswa kufikili ya kwako na ya mke,ndo mana unaambiwa utumie akili,wewe ukiwa unawaza ya miaka kumi mbele yeye anawaza ya siku hyo hyo,so ni lazima utumie akili
 
Aisee umemkomesha, mianaume ya hivyo hovyo
Wanawake tuna akili sana,sometimes tunapotezea tu.mie nilizaa na mtu,wakati akiwa hana kitu nikampenda tukaanza mahusiano akinidanganya mie ndio mkewe hadi tukapata mtoto.nilipopata ujauzito akarudiana na ex wake ambaye alimwacha kwakuwa hakua na kitu ,ila nilipokuwa naye akawa vizuri so akanigeuka.

Niliumia nikalea mimba hadi kuzaa na kuendelea kulea mwenyewe,ila nilijiapiza sitakaa nimsamehe hadi nimlize sema sikumwambia.nikawa nalo moyoni .

Mungu si athumani wiki kama tatu akanipigia simu,ana ishu yake nimsimamie kazini kwangu,kuwa kwa ajili ya mwanetu nimsaidie deal itik,nikamjibu usijali nitakusimamia.ilikuwa deal ya kama 1.5bil,nikajiambia moyoni,wakati ndio sasa.

Amini nimechangia kwa asilimia 100,kumnyima ile deal,sema sikumwambia na saivi roho yangu nyeupe full burudani.hadi leo analialia.kama ni mali kwaajili ya mwanangu ntatafuta mwenyewe kwa uweza wa manani.
 
Wanawake tuna akili sana,sometimes tunapotezea tu.mie nilizaa na mtu,wakati akiwa hana kitu nikampenda tukaanza mahusiano akinidanganya mie ndio mkewe hadi tukapata mtoto.nilipopata ujauzito akarudiana na ex wake ambaye alimwacha kwakuwa hakua na kitu ,ila nilipokuwa naye akawa vizuri so akanigeuka.

Niliumia nikalea mimba hadi kuzaa na kuendelea kulea mwenyewe,ila nilijiapiza sitakaa nimsamehe hadi nimlize sema sikumwambia.nikawa nalo moyoni .

Mungu si athumani wiki kama tatu akanipigia simu,ana ishu yake nimsimamie kazini kwangu,kuwa kwa ajili ya mwanetu nimsaidie deal itik,nikamjibu usijali nitakusimamia.ilikuwa deal ya kama 1.5bil,nikajiambia moyoni,wakati ndio sasa.

Amini nimechangia kwa asilimia 100,kumnyima ile deal,sema sikumwambia na saivi roho yangu nyeupe full burudani.hadi leo analialia.kama ni mali kwaajili ya mwanangu ntatafuta mwenyewe kwa uweza wa manani.
teh teh teh
sasa hapo kati ya wewe na yeye nani mwenye akili na nani kalizwa??

Dili ya Milioni 1.5 unaweza kuilinganisha na kudanganywa, ukaolewa na kujazwa ujauzito halafu kutelekezwa??

Hivi hapo kati ya wewe na yeye nani mwenye akili zaidi ya mwenzie??
 
Wameumbwa kutegemea kwa hiyo mwanaume ukiwa fala watakunyonya hadi damu so we need to be extra careful
 
Maana yake wanawake ni watu wana hisia sana ( emotions ) mara wanabadilika kwa kukasirika , kudanganyika kirahisi, na wengi wanakuwa kama watoto inapokuja kwenye majukumu muhimu - kwa hiyo mwanaume anatakiwa achukulie hayo yote katika maisha na kuweka mizani ya kuendelea na maisha na pia kumuweka kwenye msitari ulionyooka bila kuleta matatizo nyumbani.
Wanaume wanaweza kuishi 10 kwenye nyumba moja bila matatizo na kila mmoja ana shugulikia mambo yake tu - lakini weka wanawake nyumba moja itawaka moto na kila siku ni majungu na kusemana na kugombana !!
 
teh teh teh
sasa hapo kati ya wewe na yeye nani mwenye akili na nani kalizwa??

Dili ya Milioni 1.5 unaweza kuilinganisha na kudanganywa, ukaolewa na kujazwa ujauzito halafu kutelekezwa??

Hivi hapo kati ya wewe na yeye nani mwenye akili zaidi ya mwenzie??

Teh teh teh
Mie yangu yananiendea
Simtegemei kwa lolote
Afu nishalipiza so hata machungu yameisha
Mwanangu namlea vizuri tu kwa uweza wa manani
Kaxi kwake alotegemea kutusua kupitia mie
Nimemfungia vioo kideadly,the ndi ndi ndi
 
Mkuu n bilion 1.5
 
teh teh
cha jabu akili za wanaume zilivyo huwa dakika sufuri wanasahau halafu wanasonga mbele, wanawake wanakaa na mambo moyoni mno, hasa ishu ndogo ndogo kama hizi.

Mwenzio unaeza kuta baada ya mwezi mmoja akasahau kila kilichompata na karudi kwenye mstari kama zamani.

Mungu aliwapendelea sana wanaume aisee.

Binafsi katika vitu ambavyo nashukuru Mungu hakunipa katika maisha yangu ni "moyo wa kike", wa kubeba mambo na kuishi nayo huku yakikutesa japo huwezi kukiri kwa watu ili usionekane.

Wanaume tukikutwa na lolote kwenye maisha huwa tunatibuka sana ndani ya siku mbili tatu, then tunapotezea tunasonga mbele, mwanamke sahau kabisa.
 
Back
Top Bottom