Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,605
- 6,290
Na hii ndiyo tofauti ya wasomi wa bongo na wale wasioenda shule! Msomi hesabu nyingi huku akiogopa kupoteza!Hizi ni hesabu za kwenye karatasi
Namba hazidanganyi,,Na hii ndiyo tofauti ya wasomi wa bongo na wale wasioenda shule! Msomi hesabu nyingi huku akiogopa kupoteza!
Yule asiyeenda shule hapigi hizi hesabu anajilipua na anapata uzoefu then anatoboa! We nenda kapate uzoefu kwanza hata kama utapoteza!
Wasomi wengi wa bongo hawaujui mtaa na kanuni zake coz ya kufungwa kwenye kuta nne (darasa) wakati mtaa hauna kuta nne, hauna mwanzo wala mwisho na huitaji zaidi uhalisia!
Ukipata elimu ya darasani plus elimu ya kitaa utaishi sehemu yoyote hapa duniani!
Pia ukipata elimu ya kitaa bado unaweza kuishi sehemu yoyote hapa duniani!
Ila ukipata elimu ya darasani hasa ya Tanzania kuna changamoto kadhaa zitakuathiri kwa namna moja ama nyingine!
Elimu ya Tanzania imeelemea zaidi kwenye kukariri mpaka kwenye maisha! Soma-Faulu-Upate kazi serikalini!
Nb: Ni mtazamo tu!
Pikipiki 10 ni shilingi milioni 28, faida ya miezi 13 ni milioni 11PIkipiki labda umnunulie ndugu au kijana uliyeamua kumkwamua kibiashara lakimi siyo wewe kupata faida.
Faida itaonekana kama utanunua 10 kwa wakati mmoja hapo utaona faida
Kwa muda gani ?Pikipiki 10 ni shilingi milioni 28, faida ya miezi 13 ni milioni 11
Ni heri ununue bajaji 2 kwa milioni 17, kabla hujaziachia bure umelamba faida ya milioni 11
Hizi biashara kama una ndugu yupo yupo tu ndo ufanye kama kumsaidia tu sio kutegemeaGharama za ununuzi na usajili - 2,800,000
Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja)
Hesabu ya siku – elf 10
Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000
Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000
Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3 kasoro)
Muhimu: Hizi ni hesabu za kwenye karatasi yani biashara ikinyooka bila usumbufu wowote ila kiuhalisia biashara ya pikipiki za mkataba ni pasua kichwa, kijana anaweza kuwa msumbufu analeta hela kidogo, boss kuna muda unalazimika kuzama mfukoni kurekebisha chombo, n.k.
Miezi 13 ni mkoa gani huo mkuu ??Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000
Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja)
Hesabu ya siku – elf 10
Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000
Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000
Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3 kasoro)
Muhimu: Hizi ni hesabu za kwenye karatasi yani biashara ikinyooka bila usumbufu wowote ila kiuhalisia biashara ya pikipiki za mkataba ni pasua kichwa, kijana anaweza kuwa msumbufu analeta hela kidogo, boss kuna muda unalazimika kuzama mfukoni kurekebisha chombo, n.k.
Sisi uku kwetu iringa bosi akikuhurumia sana ndo anakuachia kwa miezi 16 ila wengi wao 17 na 18Miezi 13 ni mkoa gani huo mkuu ??
Nunua hata bajaji used namba D unapata kwa 4.5mBajaji zina nafuu ila zina bei sana
Fanya hivi:Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3 kasoro)
Fanya hivi:
2,800,000 / siku 395 = 7,088.. (elf 7 mia moja).
Kwahiyo mtaji wa Elfu 7,100 kila siku ukupe Faida ya Elfu 3., is it worth?