Is the risk worth it ? kununua pikipiki mpya, uitoe kwa mkataba wa faida ya “elf 3 kwa siku”,kisha uigawe bure baada ya miezi 13 ikiwa bado mpya

G Tank

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
2,067
7,892
Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000

Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja)

Hesabu ya siku – elf 10

Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000

Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000

Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3 kasoro)

Muhimu: Hizi ni hesabu za kwenye karatasi yani biashara ikinyooka bila usumbufu wowote ila kiuhalisia biashara ya pikipiki za mkataba ni pasua kichwa, kijana anaweza kuwa msumbufu analeta hela kidogo, boss kuna muda unalazimika kuzama mfukoni kurekebisha chombo, n.k.
 
Hizi ni hesabu za kwenye karatasi
Na hii ndiyo tofauti ya wasomi wa bongo na wale wasioenda shule! Msomi hesabu nyingi huku akiogopa kupoteza!

Yule asiyeenda shule hapigi hizi hesabu anajilipua na anapata uzoefu then anatoboa! We nenda kapate uzoefu kwanza hata kama utapoteza!

Wasomi wengi wa bongo hawaujui mtaa na kanuni zake coz ya kufungwa kwenye kuta nne (darasa) wakati mtaa hauna kuta nne, hauna mwanzo wala mwisho na huitaji zaidi uhalisia!

Ukipata elimu ya darasani plus elimu ya kitaa utaishi sehemu yoyote hapa duniani!

Pia ukipata elimu ya kitaa bado unaweza kuishi sehemu yoyote hapa duniani!

Ila ukipata elimu ya darasani hasa ya Tanzania kuna changamoto kadhaa zitakuathiri kwa namna moja ama nyingine!

Elimu ya Tanzania imeelemea zaidi kwenye kukariri mpaka kwenye maisha! Soma-Faulu-Upate kazi serikalini!

Nb: Ni mtazamo tu!
 
Namba hazidanganyi,,
Kujua namba ni muhimu, sio kwenda kwenda kama kichwa panzi
 
PIkipiki labda umnunulie ndugu au kijana uliyeamua kumkwamua kibiashara lakimi siyo wewe kupata faida.
Faida itaonekana kama utanunua 10 kwa wakati mmoja hapo utaona faida
Pikipiki 10 ni shilingi milioni 28, faida ya miezi 13 ni milioni 11

Ni heri ununue bajaji 2 kwa milioni 17, kabla hujaziachia bure umelamba faida ya milioni 11
 
Biashara za Usafirishaji i.e Boda boda ama Bajaj ni biashara kichaa Kwa maoni yangu

Niliwahi kununua Bajaj mbili na kuwapa Vijana, naijutia kupoteza hela yangu

Vijana wakawa ni wasumbufu, hawaleti kipande baadaye ikawa ni hasara tu

Bora hela yangu ningeenda kuilia Bata tu, maana unaweza kujikuta unaua bila kukusudia
 
Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000

Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja)

Hesabu ya siku – elf 10

Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000

Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000

Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3 kasoro)

Muhimu: Hizi ni hesabu za kwenye karatasi yani biashara ikinyooka bila usumbufu wowote ila kiuhalisia biashara ya pikipiki za mkataba ni pasua kichwa, kijana anaweza kuwa msumbufu analeta hela kidogo, boss kuna muda unalazimika kuzama mfukoni kurekebisha chombo, n.k.
Hizi biashara kama una ndugu yupo yupo tu ndo ufanye kama kumsaidia tu sio kutegemea
 
Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000

Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja)

Hesabu ya siku – elf 10

Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000

Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000

Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3 kasoro)

Muhimu: Hizi ni hesabu za kwenye karatasi yani biashara ikinyooka bila usumbufu wowote ila kiuhalisia biashara ya pikipiki za mkataba ni pasua kichwa, kijana anaweza kuwa msumbufu analeta hela kidogo, boss kuna muda unalazimika kuzama mfukoni kurekebisha chombo, n.k.
Miezi 13 ni mkoa gani huo mkuu ??
 
Back
Top Bottom