Is sex overrated?

Hata mimi i still believe kuwa mabint wema na wazur kama walivyokua mama zetu hata sasa bado wapo tena wengi tuu wala sio pesa kipaumbele, maisha simple kabisaa
Ni kweli Mkuu

Unakuta Kijana anasema haoi Kwa kuwa maisha magumu, lakini unakuta anatumia shilingi 15,000 kula peke yake Kwa Siku.

Wakati hiyo hela ukioa, unampa Mkeo elfu 10 anaibajeti kula Siku 3 wakati huo huo mnaweka na akiba shilingi 5 kila Siku
 
Back
Top Bottom