gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,287
- 3,801
Marekani wanakosea sana huu mzaha utakuja kuleta madhara makubwa sana mazayuni ni mbaya sana na hatari kwa usalamaHili taifa la Israel bora lisiwepo tu Duniani mana linaatarisha usalama na usitawi wa Dunia.