Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,672
4,173
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.

Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo inda, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo.

Mambo hivi sasa hayaendi kabisa. Nchi ni kama imesimama.
 
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavhoendelea, nashawishika kusema walitaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.

Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo India, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo.

Mambo hivi sasa hayaendi kabisa. Nchi ni kama imesimama.
Hao jamaa ni manabii. Mabeyo atakuwa anasikitika sana.
 
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavhoendelea, nashawishika kusema walitaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.

Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo India, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo.

Mambo hivi sasa hayaendi kabisa. Nchi ni kama imesimama.
Ni suala la Muda tu..
 
Hujitambui wewe, kuna kitu kinaitwa precedence ndio ingekua order of the day. So kama Samia angepinduliwa ingekua ndio mchezo kila Rais anayefuata angeondolewa kwa mapinduzi.

Same to fomu moja CCM, tulipiga kelele sana 2020 na 2010 humu JF kwamba ni precedence mbaya. Cha ajabu wana CCM wakamtetea JPM kuwa anakubalika sana so hakuna haja ya kugawa fomu nyingine. Leo Mama Samia naye anapewa fomu peke yake ya kugombea watu wamekua wakali ila kiini ni precedence.

Kwahiyo tamaa ya siku moja isikupande kichwani hadi ikabadili mfumo wa uongozi milele. Hao waliotaka kupindisha ilifaa wanyongwe kabisa!!

Kingine hao waliotaka kupindisha katiba sio kwamba walijua mama hawezi Urais ila wao nao walitaka kuweka Rais watakaomcontrol ili waibe zaidi. Sitaki kuamini kwa jinsi mafisadi yalivyojaa CCM kwamba yalitaka Rais "mkali", maana wangeiba wapi sasa? So wote tu walikuwa wanataka kuiba kuliko wenzao.
 
Back
Top Bottom