Ipi ni sababu sahihi ya kufanya mapenzi (tendo la ndoa)?

Ipi ni sababu sahihi ya kufanya mapenzi (tendo la ndoa)?
1. Kufanya mapenzi ili kuonyesha upendo kwa mpendwa wako
2. Kufanya mapenzi ili uzae (kupata watoto)
3. Kufanya mapenzi ili kutimiza wajibu
4. Kufanya mapenzi ili kutimiza matamanio ya kimwili
5. Kufanya mapenzi ili kumlinda mpendwa wako
6. Kufanya mapenzi ili kujipatia kipato
7. Kufanya mapenzi kwa starehe tu
8. Kufanya mapenzi ili kutimiza matakwa ya mpendwa wako
9. Kufanya mapenzi kama zawadi kwa umpendae
10. Kufanya mapenzi kwa sababu za kiafya
Je, wewe uko wapi?
Heshima kwenu[/QUOTE

Nafanya kila ninapojisikia kufanya!!
 
sababu sahihi kwa mujibu wa nani?

iwapo hakuna refence ya usahihi basi njia zote hizo ni sahihi kwa anaefanya iwapo kutakuwa na maridhiano kwa wahusika.
 
Back
Top Bottom