Mkuu alivyosena tu watanzania fyatueni watoto shule bure mara moja Wizara husika kupitia kwa Waziri wake wakatoa tamko kukanusha na kusema Rais alikuwa anatania tu nakusisitiza uzazi wa mpango upo palepale. Sasa hili la jana linashabihiana na hilo, kauli ya serikali imeshatoka kwa Waziri mwenye dhamana hiyo hiyo ndiyo inasimana hadi muda huu.