alsam
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 213
- 273
Toa full details pleaseGharama ya boda 3.3m
#boda mpaka inakaa barabarani itagarimu kiasi gani?
#Mkataba miezi mingap?
#Kiasi ganj kwa siku.
Toa full details pleaseGharama ya boda 3.3m
Ajali zipo tu wala sio jambo la kuliwaza sana maana huwezi epukaFungua biashara...kwajiji la dar es salaam boda boda ni hatariii mnooooView attachment 3031783fikilia kuhusu ajari mkuu...!
Mchanganuo wa Biashara yako ya Bodaboda ni km ifuatavyo:-Itagharimu 3.5m mpaka inakaa barabarani
Mkataba miezi 12 marejesho 12000 kwa siku
Asante sana alsamMchanganuo wa Biashara yako ya Bodaboda ni km ifuatavyo:-
#Gharama za Bodaboda ni 3.5M
#Mkatataba miezi 12.
# Malipo elf 12 kwa Siku
#Malipo x miezi 12
12000 X 30 Siku X 12 miezi = 4,320,000/= kwa Miezi 12
# 4,320,000 - 3,500,000 gharama ya boda = 820,000 Faida ya Mwaka sawa na Ongezeko la 23% kutoka kwa initial investment yako ya 3.5M
# Hiyo ni sawa na kusema Faida ÷ Mwaka
TSH 820,000 ÷ 365 Siku = Tsh 2246 kwa siku kama Faida hii sawa na kusema kwa uwekezaji wa 3.5M unapata faida ya 2246 sawa na ongezeko la 0.06% Daily what the f*****??? Hii Maana yake itakuchukua miaka 4 kudouble huo mtaji wako hii biashara kwa kumiliki pikipiki moja HAIFAI kwa kumpa mtu unless uendeshe wenyewe.
Apo bado hatujaweka hasara yoyote kati kati.
Conclusion
Kwa mtaji wa 3.5M ni mkubwa Sana Asee umiza bongo bado ww ni kijana.
Kiingilio 500k ebhanaeee hicho sio kijiwe ni taasisiandaa kiingilio cha kijiwe kama laki tano hivi
Mbona hela ndogo sana hio kaka.Kiingilio 500k ebhanaeee hicho sio kijiwe ni taasisi