iPhone and iPad niulize chochote

Mkuu,..nawezaje ku-update ios 4.3.3 ya ipad2 kwenda current version 9.2.1 au 7.0 (ambayo intasaidia ku-support watsup na other documents reader apps) maana Nkisha Download via itune version ya ios yeyote.nkiwa na update sasa inakata..na kuniletea unknown error, tofauti tofauti.

MSAADA WAKO wa haraka mkuu..
 
Ipad siku hizi hazisupport whatsapp,applications,zimebaki kwa iphone tu
Halafu ipad yako ni version ya nyuma mno sijui kama inaweza kupokea hizo latest ios 7..8...9.2
 
Sawa mkuu.lakini ndo kusema kuwa hata version yoyote ya juu zaidi ya hiyo 4.3.3 hakitaweza support??..
Kwa sababu nimejaribu hata 5.2,na nyinginezo bdo inagoma...Au kuna namna ya kufanya (nimekuwa niki-download ios peke yake halafu najaribu ku-update manually coz itune inanimate the current version na niki-install inanibidi Error 9 ndo tatizo)?
 
Kama simu yangu sijui apple id alafu nataka kudownload whatsapp alafu dijui password nafanyaje ukishindwa niAmbie
 
Back
Top Bottom