Internship (Manamba) mashambani Israel?

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,728
32,520
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;

1. Nani anaratibu?

2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.

3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.

4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
 
Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆

Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
 
Kwani kusafiri nje ya nchi lazima kuwepo anayeratibu??
 
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;

1. Nani anaratibu?

2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.

3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.

4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Ni ajabu sana nyuzi kama hii kuonekana hapa jukwaani!

Je! Kama lisingalitokea tukio lile la kigaidi la HAMAS lililoiingiza Israeli vitani uzi kama huu ungepanda hapa jukwaani na hoja zake hafifu!?

Je! Vifo vya vijana hawa wa Kitanzania vilitokea katika mazingira gani na vilisababishwa na nani!?

Ukisoma katikati ya mistari, utabaini kuwa hoja zake zimetamalaki chuki za kidini, kikabila ama kikanda, na pia ndizo hasa ambazo zimempelekea mpandisha uzi kuja kihivyo. Yeye pamoja na kujaribu kuzunguka kwake kote lakini kashindwa kuficha hisia zake kuhusu "u-Kaskazini" na "u-Mangi"

Watu wenye nia njema na uzalendo kwa nchi yetu ni lazima waungwe mkono. Zinapotokea fursa na vijana wetu wakaenda nchi za ughaibuni, hiyo inakuwa ni faida kwa nchi yetu. Lakini endapo katika nchi hizo kunatokea "political & social instabilities" ambazo zinapelekea madhila fulani kuwatokea vijani wetu, watu kama hawa hawapaswi kulaumiwa na tena kupitia hisia za udini, ukabila ama ukanda wao.
 
Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆

Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
njoo pm tafadhari unipe connection ya jinsi ya kumpata dr Temu, wapo wengi sana wanaohitaji kwenda huko israel mkuu......
 
Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆

Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
serikali imedinda kulizungumzia hili suala na kuliundia tume.Itakuwa kuna kashfa kubwa ndani yake.
Ngoja tuone athari zake.
 
Ni ajabu sana nyuzi kama hii kuonekana hapa jukwaani!

Je! Kama lisingalitokea tukio lile la kigaidi la HAMAS lililoiingiza Israeli vitani uzi kama huu ungepanda hapa jukwaani na hoja zake hafifu!?

Je! Vifo vya vijana hawa wa Kitanzania vilitokea katika mazingira gani na vilisababishwa na nani!?

Ukisoma katikati ya mistari, utabaini kuwa hoja zake zimetamalaki chuki za kidini, kikabila ama kikanda, na pia ndizo hasa ambazo zimempelekea mpandisha uzi kuja kihivyo. Yeye pamoja na kujaribu kuzunguka kwake kote lakini kashindwa kuficha hisia zake kuhusu "u-Kaskazini" na "u-Mangi"

Watu wenye nia njema na uzalendo kwa nchi yetu ni lazima waungwe mkono. Zinapotokea fursa na vijana wetu wakaenda nchi za ughaibuni, hiyo inakuwa ni faida kwa nchi yetu. Lakini endapo katika nchi hizo kunatokea "political & social instabilities" ambazo zinapelekea madhila fulani kuwatokea vijani wetu, watu kama hawa hawapaswi kualaumiwa na tena kupitia hisia za udini, ukabila ama ukanda wao.
Watanzania upeo wao mdogo Tangu enzi za chief mangungo wa msovero achana na kichwa maji icho
 
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;

1. Nani anaratibu?

2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.

3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.

4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Nendeni mkalisaidie Taifa teule wapo maji ya shingo lkn tu yakiwakuta msije mkalia Lia hapa
 
Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆

Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Joshua Mollel kafanywa kama nyama choma ,wajinga hawa wanapeleka watu kweny vita..

Huyo dalali kupenda pesa wala hana utu, yule wa Urusi nae kauliwa pako kimya.

Maelezo ya mzee yanatosha dogo kajiroga ndio matokeo yake...Walivyokuwa watu wa hovyo Israel wameilist kweny nchi zenye political stability..
 
serikali imedinda kulizungumzia hili suala na kuliundia tume.Itakuwa kuna kashfa kubwa ndani yake.
Ngoja tuone athari zake.
Akilii zenu fupi, sugeco wana website nenda kasome taratibu zao uliza mwanafunzi wa Sua labda wana info wakufahamishe kama amuwezi kusoma wenyewe kujijaza maarifa mtaweza nini hapa duniani, afu ukute ni mtu unalaumu serikali kumbe kichwa chako ndo shida yako
 
Joshua Mollel kafanywa kama nyama choma ,wajinga hawa wanapeleka watu kweny vita..

Huyo dalali kupenda pesa wala hana utu, yule wa Urusi nae kauliwa pako kimya.

Maelezo ya mzee yanatosha dogo kajiroga ndio matokeo yake...Walivyokuwa watu wa hovyo Israel wameilist kweny nchi zenye political stability..
Raia wa Tanzania tu ndio wako Israeli? Haya maisha bila risk utakufa kama kenge mtoni usie na chochote duniani, hapa watu wana kufa kilasiku bodaboda tuna zika daliy, ulitaka vijana wakae kusubiri ajira bongo wawe bodaaboda au mawinga kariakoo?
 
Hivi huwa kuna uhusiano wa akili na dini? Hapo nimetoa mifano mochache ya wanafunzi toka mataifa ya Kenya, Rwanda na Ghana wanaokwenda kwa hiyo hiyo internship

Back
Top Bottom