Internal Auditor (Mkaguzi Wa Ndani) at TURSACCOS LTD August, 2024

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,787
1,508
Job Vacancy: Internal Auditor (Repeated Announcement)

TURSACCOS LTD is pleased to announce to the general public that there is an opening for the position of Internal Auditor.
Maombi ya Nafasi ya Mkaguzi wa Ndani

TURIANI SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY

PRI-MRG-MVM-DC-2023-3822
P.O.BOX 73,
TELEPHONE: 0627 283 981
E-mail: tursaccosltd@gmail.com

OFFICE LOCATION: MADIZINI, TURIANI, MVOMERO DISTRICT, MOROGORO, TANZANIA.
KUMB. N0. TURSACCOS/T./A.43/202
19/08/2024

TANGAZO

YAH; NAFASI MOJA YA KAZI YA MKAGUZI WA NDANI (linarudiwa)


TURSACCOS LTD inapenda kuwataarifu Wananchi wote, Kuwa ina Nafasi moja ya Kazi ya Mkaguzi wa Ndani.

SIFA ZA MWOMBAJI:
  1. Awe na Umri wa Miaka 25 hadi 45
  2. Awe na Elimu kuanzia Stashahada ya Uhasibu na kuendelea
  3. Shahada ya umahili yaani CPA ni kigezo cha ziada
  4. Awe amepitia Mafunzo ya kompyuta
  5. Awe na uzoefu wa miaka miwili (2) au zaidi wa kufanya kazi ya uhasibu
  6. Awe mwaminifu na kujisimamia mwenyewe kwenye kazi zake
KAZI / WAJIBU WAKE:
  1. Kufanya uhakiki wa miamala yote ya fedha za Chama
  2. Kuhakiki hali ya utoshelevu wa kudhibiti wa ndani wa shughuli zote za Chama
  3. Kusaidia kamati za usimamizi kutekeleza majukumu yake kitaalam
  4. Kumsadia Mkaguzi wa Nje katika kutekeleza majukumu yake
  5. Kushauri Bodi juu ya hali ya uendeshaji wa shughuli za Chama na maendeleo yake
MSHAHARA:
  • Ni kwa Makubaliano
Barua zitumwe kwa Mwenyekiti, TURSACCOS LTD, S.L.P. 73, MTIBWA – Morogoro, zikiwa zimeambatanishwa na Vivuli (Photocopy) vya Vyeti na passport size moja. Au kwa E-mail: tursaccosltd@gmail.com

Mwisho wa kupokea Barua za Maombi ni Tarehe 01/09/2024
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…