Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 4,814
- 1,525
Job Vacancy: Internal Auditor (Repeated Announcement)
TURSACCOS LTD is pleased to announce to the general public that there is an opening for the position of Internal Auditor.
Maombi ya Nafasi ya Mkaguzi wa Ndani
TURIANI SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY
PRI-MRG-MVM-DC-2023-3822
P.O.BOX 73,
TELEPHONE: 0627 283 981
E-mail: tursaccosltd@gmail.com
OFFICE LOCATION: MADIZINI, TURIANI, MVOMERO DISTRICT, MOROGORO, TANZANIA.
KUMB. N0. TURSACCOS/T./A.43/202
19/08/2024
TANGAZO
YAH; NAFASI MOJA YA KAZI YA MKAGUZI WA NDANI (linarudiwa)
TURSACCOS LTD inapenda kuwataarifu Wananchi wote, Kuwa ina Nafasi moja ya Kazi ya Mkaguzi wa Ndani.
SIFA ZA MWOMBAJI:
Mwisho wa kupokea Barua za Maombi ni Tarehe 01/09/2024

- Awe na Umri wa Miaka 25 hadi 45
- Awe na Elimu kuanzia Stashahada ya Uhasibu na kuendelea
- Shahada ya umahili yaani CPA ni kigezo cha ziada
- Awe amepitia Mafunzo ya kompyuta
- Awe na uzoefu wa miaka miwili (2) au zaidi wa kufanya kazi ya uhasibu
- Awe mwaminifu na kujisimamia mwenyewe kwenye kazi zake
- Kufanya uhakiki wa miamala yote ya fedha za Chama
- Kuhakiki hali ya utoshelevu wa kudhibiti wa ndani wa shughuli zote za Chama
- Kusaidia kamati za usimamizi kutekeleza majukumu yake kitaalam
- Kumsadia Mkaguzi wa Nje katika kutekeleza majukumu yake
- Kushauri Bodi juu ya hali ya uendeshaji wa shughuli za Chama na maendeleo yake
- Ni kwa Makubaliano
Mwisho wa kupokea Barua za Maombi ni Tarehe 01/09/2024