Inspekta aachia Diss kali kwa Roma.. "Unajiita Mkatoliki wakati unasali kwa Gwajima?".

Huyu nae amesha zeeka kimuziki, alimdiss mwana FA aliposema bado nipo nipo kwanza, akijidi kumkosoa nyimbo ikabuma leo kaja kwa Roma, jamaa ameshakuwa historia siku nyingi abaki kupiga debe stand sasa.
 
Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??

Ndivyo walivyo mbwa koko
 
Na huyo aliyeleta hii post si mnamjua jamani, wale wale wa buku saba wale... Inspector kapewa buku Saba zake, huo wimbo ukasambazwa kwa hawa team Bashite waulete kwenye social media.... Bashite anahangaika kweli kweli....
 
Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??

kafulia huyu mzee anataka kutokea kwa mgongo wa dogo
 
JAMANI HIYO NYIMBO NI YA ZAMANI, INSPEKTAAH ALIMJIBU ROMA KIPINDI AMBACHO ROMA ALITOA WIMBO WA "VIVA ROMA VIVA".

ILA NAONA WATU WANADHANI NI WIMBO MPYA.

VIVA INSPEKTAAAH VIVA.
 
Mziki umekushinda piga kimya unataka kiki kupitia Roma maisha mabovu una stres utajuta ukujipangaa eee.naskia unapenda bia za bure utagongwa
 
Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??

Babu hii ngoma ya mwaka juzi hii kipindi cha uchaguzi baada ya Roma kuachia ile ngoma yake ya kuichana serikal/ccm jina limenitoka...ndio.mchonga meno Inspekta kama kawaida yake kutembelea footprints za wenzake nae akaja kumjibu roma na huo wimbo.....
 
Back
Top Bottom