Nina uhakika wengi mnatumbu kuwa ifikapo mwezi 6 simu zote ambazo si original hazitaweza kufanya kazi. hizi ni website ya tcra ambayo inahakiki kama simu yako ni feki ama la. hatua Bonyeza namba *#06#. halafu kopi imei namba halafu ingiza sehemu ya kuverify na uclick "verify my device". ikiwa imei yako itaonyesha model tofauti na mtengeneza wa device basi hiyo simu ni feki kwa hiyo nunua nyingine.

Hii ya kwangu kama ni ya kuzima wazime tu simu miaka 8 ipo tu haipotei, haiharibiki, sina hata uchungu ikiwa feki haya imerudisha pesa ya kununulia aisee.