MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,576
Mh...............ina maana walishindwa hata kuvunja ukimya?> Mbona zipo njia nyingi tu za kuridhishana hadi pale atapoweza?? mara nne tu anakata tamaa na kuanza kutafuta mwingine?? sasa akiolewa halafu mumewe akapata tatizo kwa miezi sita?? Ataomba talaka?? Hajatulia huyoYap hiyo ndo sababu kuu inayomfanya aolewe na jamaa huyo.
Binti anavodai alijiingiza kumkichwa kwa jamaa coz aliona ameamshwa hisia na best yangu and then akashindwa kumpa mambo.