Guin
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 68,548
- 163,311
Sahihi sana..Umesogeza hisia zaidi kuliko ushauri wa kitaalamu.
Sijaona popote ulipouliza ukubwa wa jengo!
Bila kukamata karatasi na kupiga mahesabu, mifuko 300 inakamilisha nyumba standard ya makazi, kuanzia tofari, kujenga pamoja na ripu.
Kama ananyanyuka moja kwa moja hadi fance, hapo mifuko ya nyongeza itahitajika.
Kibongobongo watu bujenga nyumba zenye ratio dhaifu sana