Ndugu zangu, habarini.
Naomba ushauri, nataka kujenga. Nimepigiwa mahesabu kwamba paka nyumba kuisha ninatakiwa mifuko 300 ya cement.
Sasa, nafikiria kununua toka kiwandani kwa jumla ili kupata bei ya jumla.
Swali langu ni kwamba, je nitaruhusiwa kununua toka kiwandani moja kwa moja au lazima ninunue toka kwa agent? Pia nataka kujua bei inaweza chezea kiasi gani kwa jumla kwa cement standard ya 42.
Asanteni sana.