Inauma sana na haivumiliki

Mapenzi ni ubinfsi, ndio maana Condoleezza rise alikataa kabisa kuingia kwenye mahusiano.

Mahusino yanaendeshwa na ubinafsi, kumiliki mtu na kutaka mtu akupe furaha unayotaka wewe.

Inapokuwa kinyume chake matokeo yanakuwa ndio haya, yanafika mbali kwa sababu ya ubinafsi hutaka kudhuru na kudhalilisha!

ipo siku wanaokataa ndoa wataeleweka.
 
Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo
mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja
dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna
unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae
shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine
je mwanaume wa namna hii utamfanya nin
kumshusha busha
kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende
ukiangalia kakupotezea muda inauma kwakweli
Marriage requires patience, understanding, ability to bow out in argument and love.

Love marriage fad has blinded people to assume that dating and small term relationship lead to marriage. In reality it doesn’t.

A person good with sex, doesn’t mean he’s going to be good with finances. A person good with money may not be good with sex. And you can guess the rest of scenarios.

Nobody is perfect. But people want perfection for their own life. So they pick and choose their comfort zone in marriage, which doesn’t stand for many in relationship.

That’s why some women have love affair till they find financially secure and decent guy, then they dump their current lover. Many men have love affair with progressive modern woman but they want stability in relationship so they marry conservative woman. Some people just want time pass and intimacy exploration before marriage too.
 
Hapo kwenye kupotezewa muda ndio ntaenda kinyume nawewe.

Vipi wewe hujampotezea muda?

Vipi kwa muda aliopoteza nawewe labda angekuwa na mtu mwingine ambaye angempenda kwa dhati na asingethubutu kumsaliti kwa hali yoyote ile. (nasema tu)

Mwisho wa siku watu wanabadilika inajulikana wazi.

Unachoumia hapa ndicho wanaume waliofilisika wanapitia kwa wenza wao, dharau, ngebe, kila aina ya baya.

Hitimisho
Hayana muongozo.

pole sana.
 
Kuna wanaume tunatakaga tupate manzi wa kuanzia naye chini kabisa Lakini hatuwapati, tunakuja kupata Watu washamaliza ujana wao 🤣 🤣 🤣 wanaanza kujiona wanahumuhimu sana kwenye Maisha yetu na wengine wanaona wana michango kwenye Maisha yetu.

Binti Hadi JamiiForums unaijua, kuna kasehemu utakuwa na ujuaji, ila kama huyo kijana wako ni kijana wa mjini, kijana wa ovyo hajatulia achana nae ahangaike akutane na watoa roho, Wanawake ni makatali sana
 
Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo
mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja
dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna
unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae
shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine
je mwanaume wa namna hii utamfanya nin
kumshusha busha
kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende
ukiangalia kakupotezea muda inauma kwakweli
Kwanza unaishije na mwanaume kabla hujaolewa?

Kuna pupa watoto wa kike mnayo, ikiwa hujaolewa usilale hata kwa mwanaume, usimpe uchi kama maji.

Unakuta umechumbiwa tu unampa mwanaume uchi anauchakaza kama kifungua kinywa kila siku, ukimuudhi na akikuchoka anamchukua Hawa

Mjifunze kujitunza hadi muda ufaao.
ephen_ umeshangaa tena?
Chukua hayo maneno, kabla hujaolewa tunza utam usimpe mwanaume kila siku
 
Back
Top Bottom