Serikali ifike mahali iisaidie hiyo hospitali ya Bugando,siyo kila kitu ni Dar peke yake utadhani watanzania wote tunaishi DarHospitali ya Bugando ni hospitali kongwe na kubwa hapa Tanzania.
Ni hospitali ya rufaa katika mikoa yote ya kanda ya ziwa na mikoa ya jirani.
Cha ajabu na cha kusikitisha hospitali kubwa kama Bugando hawana mashine za MRI wala CT Scan.
Serikali na wamiliki wa hii hospitali wafanye jitihada kuweza kununua hivyo vifaa.
Inashangaza kufika Bugando unahitaji hivyo vipimo ukaambiwa ukavitafte kwenye hospitali ndogo ndogo za watu binafsi.
Mwanza kuna mtu private ana diagnostic center ina MRI,, anapatikana kule mitaa ya isamiloHakuna hospitali ndogo ndogo kanda ya ziwa ina MRI.
Sidhani kama Tanzania kuna MRI zaidi ya tatu.
CT SCAN nazo zikizodi sana zitakuwa 4
Na hizi zote CT SCAN na MRI zote zipo DAR es salaam
Kwa ulicho andika hapa huna tofauti na mange kimambiwewe ndio mpumbavu, lift ya serena hotel ikiharibika serikali itengeneze, basi la abood likipinguka serikali itengeneze, regulatory systems ndio nini? haya manyumbu ya chadema sijui mbowe anayatoaga wapi? haya nenda kwenye page ya Mange uka like keshamtukana mtu tayari.
Alitaka kiligeuza suala hili kuwa la kisiasa kupitia cheap propaganda bila kujua kuwa Bugando Medical Center is a private owned Institute.kaka nashindwa kukuelewa, hii ni hospital binafsi inawamiliki wake ndio wenye wajibu wa kununua vifaa vya hospital, ila naona unaongea kama unatokea kishumundu, sijui umelewa mbege au unamatatizo ya akili.
Sio hisa bali kwa mujibu wa kanuni serikali ina-SUBSIDISE katika gharama za uendeshaji wa taasisi ya Bugado Medical Center.Serikali ina hisa zake hapo mi si Kishmundu ni wa Ipalamasa simiyu
Hakuna sababu ya kuzozana mambo kama haya yanataka akili ya ziada hata kufahamu kama yapo.Sijui kama unajua Kiingereza ila ni hivi serikali nayo ina mkono wake tuondoe mambo ya hisa maana hii siyo biashara.
"in October 1985 the Government handed back the Hospital to the Tanzania Episcopal Conference of the Catholic Bishops of Tanzania who is the owner with an agreement that the hospital be run in partnership with the government to provide Government Services as a referral and consultant hospital for the Lake Zone."
Kwa hiyo husimtukane mwenzio anachosema ni kweli ila wewe ndiyo uelewi au kwa Kiswahili chako mjinga mjinga
Kweli kabisa isamilo hio centre inaitwa 'Mbijiwe' ina vyote MRI na CT scanMwanza kuna mtu private ana diagnostic center ina MRI,, anapatikana kule mitaa ya isamilo
Ina subsidise vipi, kwa makubaliano yapi?Sio hisa bali kwa mujibu wa kanuni serikali ina-SUBSIDISE katika gharama za uendeshaji wa taasisi ya Bugado Medical Center.
Kwa hiyo kanda ya ziwa nzima hicho kituo ndio kina hivyo vifaa?Hizo huduma tunazipata kutoka Mbijiwe, ni kituo binafsi kwa ajili ya kutoa hizi huduma za MRI na CT scan
Kcmc wanazo hizo mashine?Bora hata kcmc
Nadhani.....Kwa hiyo kanda ya ziwa nzima hicho kituo ndio kina hivyo vifaa?
Mfikishie hizi taarifa Mange Kimambi yule ndio wanamsikiliza maana kila siku asubuhi lazima wamsome na usiku kabla hawajalala lazima wamsome. Mange ndio mbunge wa Taifa kwa sasa.Hospitali ya Bugando ni hospitali kongwe na kubwa hapa Tanzania.
Ni hospitali ya rufaa katika mikoa yote ya kanda ya ziwa na mikoa ya jirani.
Cha ajabu na cha kusikitisha hospitali kubwa kama Bugando hawana mashine za MRI wala CT Scan.
Serikali na wamiliki wa hii hospitali wafanye jitihada kuweza kununua hivyo vifaa.
Inashangaza kufika Bugando unahitaji hivyo vipimo ukaambiwa ukavitafte kwenye hospitali ndogo ndogo za watu binafsi.
wewe ndio mpumbavu, lift ya serena hotel ikiharibika serikali itengeneze, basi la abood likipinguka serikali itengeneze, regulatory systems ndio nini? haya manyumbu ya chadema sijui mbowe anayatoaga wapi? haya nenda kwenye page ya Mange uka like keshamtukana mtu tayari.
Wewe ni mpumbavu usiyejielewa,Hujatembea wewe...unaishi kwenye godown la maficho ya bavich