Inaonyesha kuna Mengi sana nyuma ya ACT-Wazalendo

nawashangaa mnaompinga jamaa az if mnajua anakofanya kz,,,kunakaukweli hapo,kwanza zzk alishasema hicho cheo atampa mgombea urais atakae kuja, it means yupo ,na na mamvi
 
Zitto + Usalama wa taifa = Urais wa EL. Dots connected!
 
Last edited by a moderator:
Atajibebaje wakati saivi tu chama kinatikisa nchi na zitto peke yake bila uwepo wa Lowassa? Zaidi ya hapo zitto alishasema kura za urais ataiunga mkono UKAWA.
Mkuu, ACT haina ruzuku, ni chama cha juzi kati tu. Hivi nguvu kubwa inayotumika kukitangaza nani anafadhili? Hebu kaa chini and think about this.
 
BW; Malisa Godlisten MWANDISHI WA MAKALA HII

NAVAA VIATU VYA "SHEIKH YAHYA" KWA MUDA.!

Na Malisa GJ,
Apumzike kwa amani huko alipo mnajimu mkuu, ustaadh, mtaalamu wa nyota na anga za mbali, bingwa wa kusoma alama za nyakati, mtaalamu wa kuita na kufukuza majini marehemu Sheikh Yahya Hussein. Miaka kadhaa baada ya kifo chake leo naomba kurithi kazi yake japo kwa dadika chache.

Nimesoma interview ya leo ya ZZK na gazeti la JamboLeo ameeleza juu ya umakini wa usalama wa taifa. Amesema wanaopuuza usalama wa taifa ni watu ambao hawafikiri vizuri.

Kauli hii ya ZZK imenifanya nijaribu kuunganisha dots na hivyo kuweza kufanya utabiri wangu vzr.
Dot ya kwanza. Siku chache zilizopita maafisa wa juu wa Usalama wa taifa waliripotiwa kuwa na mawasiliano ya karibu na Ndg.Edward Lowassa na kuwa wanamuunga mkono kwny mbio zake za Urais. Usalama wanaodaiwa kumuunga mkono Lowassa ndio haohao ZZK anawasifia leo kuwa wako makini.

Dot ya pili. ZZK wakati anafukuzwa CHADEMA alisema ipo siku atakuwa kiongozi mkubwa nchini na eti chadema watamheshimu kwa hilo.

Dot ya tatu. Fedha nyingi na nguvu kubwa inayotumika kukitangaza chama cha ACT inatoka wapi?
UTABIRI.!

Mpango wa ZZK kuanzisha chama cha ACT wakati akiwa bado mwanachama wa CHADEMA ni mpango ulioratibiwa vizuri na usalama wa taifa wanaomuunga mkono Edward Ngoyai Lowassa.

Lowassa is very strategic person. Anajua kuwa hawezi kupitishwa na CCM kugombea Urais. So ametafuta chama mbadala. Chama ambacho kitamfanya ashinde kirahisi.

Lowassa anajua kuwa akijiunga CHADEMA hatapokelewa na hata akipokelewa hawezi kupewa nafasi ya kugombea Urais. So ndoto yake itakuwa imekufa. Sasa afanyeje ili agombee nje ya CCM na kushinda?

Mbinu aliyotumia ni kuanzisha chama ambacho kitapata support CCM na upinzani. Na chama hicho ni ACT.
Alichofanya Lowassa ni kutafuta mtu mwenye ushawishi ndani ya CHADEMA ambaye akiondoka anaweza kuhama na wafuasi wengi. Na mtu huyo ni ZZK.

So ZZK kazi yake kubwa ni kuibomoa CHADEMA. Aondoke na wafuasi wengi wa CHADEMA kwa kadri iwezekanavyo. Ndio maana hadi sasa hatujasikia mtu kutoka TLP, UDP au PPT Maendeleo, kajiunga na ACT. Wengi tunaowasikia wametoka CHADEMA. Hiyo ndiyo kazi aliyopewa ZZK. Kuibomoa CHADEMA.!

Na wapo wabunge kadhaa wa CHADEMA watakaojiunga na ACT baada ya bunge kuvunjwa (baadhi majina tunayo). Wamehofia kujiunga sasa hivi kwa sababu watapoteza "kiinua mgongo" chao kama ilivyokua kwa Fredy Mpendazoe mwaka 2010. So baada ya bunge kuvunjwa mwezi July kuna utitiri wa wabunge wa CHADEMA watajiunga ACT.

Baada ya hapo Lowassa mwenyewe atajiunga ACT akifuatwa na mamia ya wabunge wa CCM na mawaziri lukuki. Wapo wafuasi na viongozi wa vyama vingine vya upinzani ambao nao watajuinga ACT. Kufikia hapo ACT kitakuwa chama tishio kwa CCM na upinzani maana kina wafuasi kutoka chama tawala na upinzani.

Wakati CCM na CHADEMA wakiwa kwenye taharuki ya mpasuko kwenye vyama vyao, ACT watatumia fursa hiyo kujinasibu na kujitafutia uhalali kwa wananchi. Ushawishi wa Lowassa na ZZK utawafanya watu wengi wajiunge na ACT kutokea CCM na Upinzani hasa CHADEMA.

Wakati wa uchaguzi ACT itapata kura nyingi kutoka kwa waliokua supporters wa CHADEMA na waliokua supporters wa CCM na vyama vingine vya upinzani. So ACT itapunguza kura za CCM na za CHADEMA kisha watachanganya pamoja na kudeclare ushindi.

Baada ya hapo Edward Lowassa atatangazwa Rais kupitia ACT na ndipo atamteua ZZK kuwa Waziri mkuu. Na hapo ndipo litakapotimia lile neno la ZZK kuwa "ipo siku nitakuwa kiongozi mkubwa nchini na CHADEMA wataniheshimu"

Mkakati huu unadaiwa kupangwa kwa ustadi mkubwa na Usalama wa taifa ndio maana ZZK amediriki kusema "wanaobeza usalama wa taifa hawajui kazi yake".

‪#‎MWISHO_WA_UTABIRI‬.!
Wasalaam,
Ustaadh Malisa GJ || Mnajimu wa kushtukiza.!

Huwa nikiona jina la mchaga popote natamani nimle kiboga
 
TFDA jamani haya maharage tunayokula jaribuni kuwa mnayapima kama hayana madhara kwa binadamu
 
Nyie mnataka usawa afu bado mnaidhalilisha jinsia ya kike, yani wewe ni wa kike lakini unajiona inferior mwenyewe mbele ya dume!!Umeprove pia jinsia ya kike sio kitu hata kwa wanyama kama mbuzi.

Asante sana kwa kutusemea.Afadhali na wewe Kaka Jambazi umeona,wakati tunapigania USAWA kuna wengine wanatudhalilisha.SIjui ni lini jinsia "Ke" tutajitambua kwamba tuna thamani mbele ya jamii.
 
Kuna ukweli Mwingi, ACT ilianzishwa as a fall back position ... Yote haya yatategemeana na Makundi kinzani ndani ya CCM! ... wengi wetu tunajua kuwa CCM ni rahisi sana kuungana kwa maslahi yao kuliko kutengana! Ikifikia hapa nina Uhakika akina Sitta, Membe, Pinda et al wataungana na Lowassa ili CCM iendelee kutawala ...ZZK ajiandae kuchukua nafasi ya Mrema, asihofu sana maana hata Mrema analipwa Ruzuku kupitia a/c yake binafsi ...

Mkuu, itikadi ys ACT ndio itikadi ya CCM ya Nyerere. Zitto ameshasema yeye ni muumini wa Nyerereism.

Maana yake n kuwa wale wana CCM ambao bado ni Waumini wa Ujamaa wataungana na Zitto, hilo linaenda hadi kwa Vyama Vya upinzani maana kabla ya ujio wa ACT, hakuna Chama chochote cha siasa na upinzani kilichojipambanua hivyo, na kwa hilo namsifu Zitto na ACT yake maana naamini wale Wajamaaa waliosalia ndani ya CCM watakwenda ACT, na wale walioenda upinzani kwa ajili ya kupinga Sera na itikadi mamboleo za CCM na kujikuta wamepotea njia, watakwenda ACT pia na mwisho wa siku ACT ndio wafaidika wakuu kutoka kwa CCM na wapinzani.
 
Hata mimi natabiri kuwa ZZK hafai kuwa waziri mkuu atauza nchi kwakigeugeu chake cha kusaliti watu!
 
Malisa naomba tuwasiliane sasahivi kama upo hapa online. Please naomba.
unaweza PM.
 
BW; Malisa Godlisten MWANDISHI WA MAKALA HII

NAVAA VIATU VYA "SHEIKH YAHYA" KWA MUDA.!

Na Malisa GJ,
Apumzike kwa amani huko alipo mnajimu mkuu, ustaadh, mtaalamu wa nyota na anga za mbali, bingwa wa kusoma alama za nyakati, mtaalamu wa kuita na kufukuza majini marehemu Sheikh Yahya Hussein. Miaka kadhaa baada ya kifo chake leo naomba kurithi kazi yake japo kwa dadika chache.

Nimesoma interview ya leo ya ZZK na gazeti la JamboLeo ameeleza juu ya umakini wa usalama wa taifa. Amesema wanaopuuza usalama wa taifa ni watu ambao hawafikiri vizuri.

Kauli hii ya ZZK imenifanya nijaribu kuunganisha dots na hivyo kuweza kufanya utabiri wangu vzr.
Dot ya kwanza. Siku chache zilizopita maafisa wa juu wa Usalama wa taifa waliripotiwa kuwa na mawasiliano ya karibu na Ndg.Edward Lowassa na kuwa wanamuunga mkono kwny mbio zake za Urais. Usalama wanaodaiwa kumuunga mkono Lowassa ndio haohao ZZK anawasifia leo kuwa wako makini.

Dot ya pili. ZZK wakati anafukuzwa CHADEMA alisema ipo siku atakuwa kiongozi mkubwa nchini na eti chadema watamheshimu kwa hilo.

Dot ya tatu. Fedha nyingi na nguvu kubwa inayotumika kukitangaza chama cha ACT inatoka wapi?
UTABIRI.!

Mpango wa ZZK kuanzisha chama cha ACT wakati akiwa bado mwanachama wa CHADEMA ni mpango ulioratibiwa vizuri na usalama wa taifa wanaomuunga mkono Edward Ngoyai Lowassa.

Lowassa is very strategic person. Anajua kuwa hawezi kupitishwa na CCM kugombea Urais. So ametafuta chama mbadala. Chama ambacho kitamfanya ashinde kirahisi.

Lowassa anajua kuwa akijiunga CHADEMA hatapokelewa na hata akipokelewa hawezi kupewa nafasi ya kugombea Urais. So ndoto yake itakuwa imekufa. Sasa afanyeje ili agombee nje ya CCM na kushinda?

Mbinu aliyotumia ni kuanzisha chama ambacho kitapata support CCM na upinzani. Na chama hicho ni ACT.
Alichofanya Lowassa ni kutafuta mtu mwenye ushawishi ndani ya CHADEMA ambaye akiondoka anaweza kuhama na wafuasi wengi. Na mtu huyo ni ZZK.

So ZZK kazi yake kubwa ni kuibomoa CHADEMA. Aondoke na wafuasi wengi wa CHADEMA kwa kadri iwezekanavyo. Ndio maana hadi sasa hatujasikia mtu kutoka TLP, UDP au PPT Maendeleo, kajiunga na ACT. Wengi tunaowasikia wametoka CHADEMA. Hiyo ndiyo kazi aliyopewa ZZK. Kuibomoa CHADEMA.!

Na wapo wabunge kadhaa wa CHADEMA watakaojiunga na ACT baada ya bunge kuvunjwa (baadhi majina tunayo). Wamehofia kujiunga sasa hivi kwa sababu watapoteza "kiinua mgongo" chao kama ilivyokua kwa Fredy Mpendazoe mwaka 2010. So baada ya bunge kuvunjwa mwezi July kuna utitiri wa wabunge wa CHADEMA watajiunga ACT.

Baada ya hapo Lowassa mwenyewe atajiunga ACT akifuatwa na mamia ya wabunge wa CCM na mawaziri lukuki. Wapo wafuasi na viongozi wa vyama vingine vya upinzani ambao nao watajuinga ACT. Kufikia hapo ACT kitakuwa chama tishio kwa CCM na upinzani maana kina wafuasi kutoka chama tawala na upinzani.

Wakati CCM na CHADEMA wakiwa kwenye taharuki ya mpasuko kwenye vyama vyao, ACT watatumia fursa hiyo kujinasibu na kujitafutia uhalali kwa wananchi. Ushawishi wa Lowassa na ZZK utawafanya watu wengi wajiunge na ACT kutokea CCM na Upinzani hasa CHADEMA.

Wakati wa uchaguzi ACT itapata kura nyingi kutoka kwa waliokua supporters wa CHADEMA na waliokua supporters wa CCM na vyama vingine vya upinzani. So ACT itapunguza kura za CCM na za CHADEMA kisha watachanganya pamoja na kudeclare ushindi.

Baada ya hapo Edward Lowassa atatangazwa Rais kupitia ACT na ndipo atamteua ZZK kuwa Waziri mkuu. Na hapo ndipo litakapotimia lile neno la ZZK kuwa "ipo siku nitakuwa kiongozi mkubwa nchini na CHADEMA wataniheshimu"

Mkakati huu unadaiwa kupangwa kwa ustadi mkubwa na Usalama wa taifa ndio maana ZZK amediriki kusema "wanaobeza usalama wa taifa hawajui kazi yake".

‪#‎MWISHO_WA_UTABIRI‬.!
Wasalaam,
Ustaadh Malisa GJ || Mnajimu wa kushtukiza.!

Hilo nalo neno. Kwa mbali kuna ukweli flani hivii
 
Back
Top Bottom