Inanisikitisha sana pale USA kumuogopa Kim Jong Un wa Korea Kaskazini

Wale hawana chakupoteza
Huu uchokozi hata mungu anaulaani
una vuka mabara, Mabahari kwenda kumchokoza mtu!!
waache waishi watakavyo
mliweka vikwazo miaka nenda rudi
lakini wameishi kigumu na hawaombi misaada kwa mtu
 
Wewe kaa hapo lumumba ule madafu weeeeeeeee, ukichoka uende kwenye kashata na kahawa hapo karibu na jengo la vijana, na baada ya hapo panda daladala uende kwako lakini upitie Tandika kwenye bao ukachukue habari mpya za kuandika.

America ameombwa na nch nyingi kuachana na hako kehu, badala yake itumike njia nyingine. Kama kasitisha ni kwa usalama wa dunia lakini si kwa ajili ya wendawazimu wa kiduku!. Wewe hadi anamobilize madude, unafikiri alikuwa hajui technolojia ya NK?

Usidhan Pentagon ni sawa na ofisi za Lumumba za kila siku "Tunajifunza kwa makosa", "Hiilo hatukulijua", utadhani hata ndoto hamuoti!.
Ivi hakuna nchi zilizomuomba asiizipige syria...libya...iraq na kama zipo mbona alizipiga??
 
Wewe kaa hapo lumumba ule madafu weeeeeeeee, ukichoka uende kwenye kashata na kahawa hapo karibu na jengo la vijana, na baada ya hapo panda daladala uende kwako lakini upitie Tandika kwenye bao ukachukue habari mpya za kuandika.

America ameombwa na nch nyingi kuachana na hako kehu, badala yake itumike njia nyingine. Kama kasitisha ni kwa usalama wa dunia lakini si kwa ajili ya wendawazimu wa kiduku!. Wewe hadi anamobilize madude, unafikiri alikuwa hajui technolojia ya NK?

Usidhan Pentagon ni sawa na ofisi za Lumumba za kila siku "Tunajifunza kwa makosa", "Hiilo hatukulijua", utadhani hata ndoto hamuoti!.
We nahs utakua ndo kijana wa lumumba coz ulivoelezea ratba zenu za kila siku nmepatwa na mashaka
 
Wewe kaa hapo lumumba ule madafu weeeeeeeee, ukichoka uende kwenye kashata na kahawa hapo karibu na jengo la vijana, na baada ya hapo panda daladala uende kwako lakini upitie Tandika kwenye bao ukachukue habari mpya za kuandika.

America ameombwa na nch nyingi kuachana na hako kehu, badala yake itumike njia nyingine. Kama kasitisha ni kwa usalama wa dunia lakini si kwa ajili ya wendawazimu wa kiduku!. Wewe hadi anamobilize madude, unafikiri alikuwa hajui technolojia ya NK?

Usidhan Pentagon ni sawa na ofisi za Lumumba za kila siku "Tunajifunza kwa makosa", "Hiilo hatukulijua", utadhani hata ndoto hamuoti!.
Unajifanya unaijuuuua vizuri serikali ya marekani kumbe maaaaavi matupu, unaongea kama umebanwa kwani marekani wakati anamchokonoa mkorea alikuwa hajui kuwa kuna cha kupoteza mpaka aambiwe na mataifa?????????????
Ukweli kataga siyo wote atawapiga mkwara watanywea kama mlivyonywea ninyi kwenye ukuta na upumbavu gani mwingine sijui!!
Ukweli ndiyo huo amguse sasa yeye si kidume?
 
Ila kiduku kweli tuumpe pongezi zake, kakorofi kadogo na wanashindwa kujuwa waanze wapi, safi sana, nchi zingine zapenda kuingilia sana mambo ya nchi zingine, sanctions kibao, jamaa wamo, sijuwi dhihaka mpaka filamu zake, kiduku yupo, sijuwi nini kiduku yuko pale pale, tusiopenda kuonewa twasema poa sana..kwanza marekani naye hachoki kuharibu nchi za watu?! Iraq kwishnei, Libya balaa, Afganistan ndio usiombe..mpaka lini?!
 
Ati kijana WA lumumba?

Ukome tena ukome kuniingiza kwenye mambo yenu hayo

Ningekua nafatilia hizo siasa zenu c ningeenda kwenye jukwaa husika

Kwani huyo marekani ilivotaka kukinukisha hakujua kwamba kuna hzo effect???

Hapo ni wanajitetea tu mambo yalishawafika shingoni

Huyo mjapan alikua wap kupga magoti wakat kila cku walkua wanajfanya wanapga mazoez ya pamoja

Leo watu wanajiandaa kupga kata funua wao wanakimbia na mpira
mmarekani mpuuzi sana et anasema wamshike mkono ataua mtualafu atakuja kujisifu eti isingekua Japan na south K angemmaliza! Swali wakat wanafanya hayo mazoez yote walikua hawazijui izo side effect? Akubali tu kiduku noma! Rais mzima anatudanganya et meri za kivita zinakaribia rasi ya Korea, kumbe haataaa
 
Kila mtu mchumbuzi wa siasa/uchumi na mambo ya kijeshi ya duru za kimataifa siku hizi.
 
Hakuna kuepusha blood shed wala busara. Marekan wao wana jifanya Mungu wa hii Dunia. Kama wanajua kuepusha kwann tangu mwanzo hawakutumia njia mbadala. Panki angenywea wangelmpga vbaya ila katuna wakaona yuko vzur sn. Hongera sn Panki.
 
Wewe kaa hapo lumumba ule madafu weeeeeeeee, ukichoka uende kwenye kashata na kahawa hapo karibu na jengo la vijana, na baada ya hapo panda daladala uende kwako lakini upitie Tandika kwenye bao ukachukue habari mpya za kuandika.

America ameombwa na nch nyingi kuachana na hako kehu, badala yake itumike njia nyingine. Kama kasitisha ni kwa usalama wa dunia lakini si kwa ajili ya wendawazimu wa kiduku!. Wewe hadi anamobilize madude, unafikiri alikuwa hajui technolojia ya NK?

Usidhan Pentagon ni sawa na ofisi za Lumumba za kila siku "Tunajifunza kwa makosa", "Hiilo hatukulijua", utadhani hata ndoto hamuoti!.

Hahahahahaaaa.., sasa hivi imeshakuwa ameombwa. Na pia aliombwa kudanganya kuwa zile carrier zake na wale SEAL team wanaelekea Korean peninsula wakati wanaelekea Australia?

Mara ngapi huwa anashauriwa kabla ya kuvamia sehemu na huwa anavamia haka UN wakiwa against???

Marekani kakutana na mbabe, jeuri, kiburi na mtata kuliko yeye, mtu ambaye hana cha kupoteza na hicho ndicho kilichofanya mageneral wa vita kupima uzito wa faida na hasara watakayo pata kama wakiingia vitani na wameona kuwa hasara ni kubwa kuliko faida,

Pia katika vita zote alizopigana, hii ndio vita pekee ambayo anahisi raia wake watakuwa katika hatari kubwa zaidi.
 
Wewe kaa hapo lumumba ule madafu weeeeeeeee, ukichoka uende kwenye kashata na kahawa hapo karibu na jengo la vijana, na baada ya hapo panda daladala uende kwako lakini upitie Tandika kwenye bao ukachukue habari mpya za kuandika.

America ameombwa na nch nyingi kuachana na hako kehu, badala yake itumike njia nyingine. Kama kasitisha ni kwa usalama wa dunia lakini si kwa ajili ya wendawazimu wa kiduku!. Wewe hadi anamobilize madude, unafikiri alikuwa hajui technolojia ya NK?

Usidhan Pentagon ni sawa na ofisi za Lumumba za kila siku "Tunajifunza kwa makosa", "Hiilo hatukulijua", utadhani hata ndoto hamuoti!.
Pia apitie na tandika kwa wahaya
 
Ivi hakuna nchi zilizomuomba asiizipoge syria...libya...iraq na kama zipo mbona alizipiga??
Angalia hizi nchi zina nini in common... "CIVIL WARS" mmarekani ni mwoga yeye anaenda kuvamia nchi ambayo ina conflicts kibao za kudeal nazo.
Kama akimshambulia NK, Korea Watakua na tatizo moja tu la kudeal nalo. Nalo si lingine ni "USA".
 
Kama nchi zimempigia magoti USA asikinukishe, kwanini anatudanganyaaaaa kuwa zile manuwari zake zilikuwa haziendi korea? Team Trump kubalini kuwa mmejambishwaa, sio kutuyayusha na story zenu
Nalog off
 
Ishu ilibumburuka baada ya north korea kutest lile kombora bila marekani kujibu,
kumbe hata manowari ile haikuwepo maeneo,
ilikuwa inaelekea australia badala ya kuwa inaelekea korea,
ilikuwa mikwara mbuzi kumbe,

sasa kama ingetokea kim akaamua kuwahi kabla hajawahiwa ingekuwa aibu sana
 
Back
Top Bottom