Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,208
- 13,233
Gt.. Tunajiumiza kwa mambo hata yasiyo tuhusu..Huwezi kuwa na nchi yenye furaha kama wananchi wake wambea wambea, wanafiki, wasengenyaji. Ugomvi wa gwajima na bashite Upo tena na upande umechagua. Uglmvi wa kiba na mondi una team. Mange na serikali Upo una team. Arsernal ikifungwa unajaza mitusi kwenye post ya arsener Wenger. Mkikosa miss Tanzania kutwaaa mitusi kwenye page ya watu. Ugomvi wa davido na mond Upo na team. Korea kaskazini kurusha makombora wewe mshipa unakusimama. Trump kashinda marekani wewe unazila na kusononeka ata kula huli. Madaktari wamepewa shavu kwenda kufanya kazi Kenya umenuna. Hiyo furaha inatoka wapi...?
Hatuwezi kuwa na furaha kama wambea na washakunaku. Hao somalia umeskia lini wanatukana kwenye page za watu. Umewahi skia mange msomali...?
Umbea umbea na unafiki watanzania ndo mana ata tunakufa mapema. Mda wote una stress kichwani sijui lissu atasema nini Leo. Sijui mange atakiwasha wapi Leo yarabb. Sijui north Korea ataipiga lini south Korea nishuhudie vita ya 3 ya dunia.
Tuache umbea tutaishi Kwa furaha.