mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
Utafiti hupingwa kwa utafiti.Kwahiyo wewe umeamini hiyo propaganda ya kishoga shoga namna hiyo?
We MsomaliA Nenda kwenu .Kwanini usiwe wazi tu Kipimo majungu .Watanzania Popote hatupendani .tembea u one. Wivu sana. Unaona kabisa Wenzetu Wanapeana sna kampan sisi. Majungu sana. Kila dhambi sasa twatend ila ukiona hujakamatwa unamnyoshea kidole aliyeshikwa., rudi kwenu hujajua vita au unataka kutuletea majangakupigana vita ni moja ya njia za kuondoa dukuduku moyoni,kama unaonewa na huwezi kupigana matokeo yake ndo haya
Kuna msemo unasema chizi kapewa lungu ndiyo sababu chizi akipewa lungu atajifuraisha mwenyeweHabari Wakuu,
Leo kwenye gazeti la New York Times nimeona tumeshika tatu mkia kati ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha. Syria pia yupo juu yetu. Inakuwaje wakuu hadi North Korea wananchi wake wana furaha kuliko siye. Hadi Somali ambapo watu wanajitoa mhanga kila siku.
Unaweza kuhisi sababu ni nini, ama tufanye nin.
Acha ujinga, hii si ajenda. Kuna matukio makubwa zaidi ya hili hiko mnakosema kuna furaha, lakini hayatiliwi maanani. Wale polisi wanaowaua waafrika kule USA utasema kuna furaha? Tz tuna tabia ya kukuza jambo tu. Hadi inakera. Halafu tun apeleka yetu kwao wakat yao yaliyo makubwa zaidi wanapotezea. Huu ni uzezeta. Snowdern kaifanyia nn Marekani. Lakini umesikia wanapiga kelele? Nini kilitokea ktk uchaguzi wa marekani. Ungekuwa kwetu eti wamechakachua. Sisi ni wapumbavu, wambea, wanafiki na tunafikiri kwa kucha.Sasa ww unavamiwa na mkuu wa mkoa.. Furaha hiyo utapata wap??
Labda Tanzania Kaskazini ndoo hawana furaha lakini sisi maeneo mengine ya Tz ni furaha kwa kwenda mbele.Habari Wakuu,
Leo kwenye gazeti la New York Times nimeona tumeshika tatu mkia kati ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha. Syria pia yupo juu yetu. Inakuwaje wakuu hadi North Korea wananchi wake wana furaha kuliko siye. Hadi Somali ambapo watu wanajitoa mhanga kila siku.
Unaweza kuhisi sababu ni nini, ama tufanye nin.
Mkuu umefanya utafiti wako na wewe kugundua kwamba umbeya ndo umetufanya tushike mkia au pia na wewe unaleta mambo ya ubuyu kwenye utafiti?Huwezi kuwa na nchi yenye furaha kama wananchi wake wambea wambea, wanafiki, wasengenyaji. Ugomvi wa gwajima na bashite Upo tena na upande umechagua. Uglmvi wa kiba na mondi una team. Mange na serikali Upo una team. Arsernal ikifungwa unajaza mitusi kwenye post ya arsener Wenger. Mkikosa miss Tanzania kutwaaa mitusi kwenye page ya watu. Ugomvi wa davido na mond Upo na team. Korea kaskazini kurusha makombora wewe mshipa unakusimama. Trump kashinda marekani wewe unazila na kusononeka ata kula huli. Madaktari wamepewa shavu kwenda kufanya kazi Kenya umenuna. Hiyo furaha inatoka wapi...?
Hatuwezi kuwa na furaha kama wambea na washakunaku. Hao somalia umeskia lini wanatukana kwenye page za watu. Umewahi skia mange msomali...?
Umbea umbea na unafiki watanzania ndo mana ata tunakufa mapema. Mda wote una stress kichwani sijui lissu atasema nini Leo. Sijui mange atakiwasha wapi Leo yarabb. Sijui north Korea ataipiga lini south Korea nishuhudie vita ya 3 ya dunia.
Tuache umbea tutaishi Kwa furaha.