gongotamu
Member
- Nov 11, 2010
- 20
- 1
sina comment kuhusu RA kuendesha nchi. kuhusu kuwanyonya wapiga kura waa igunga, najiweka tofauti na wachangiaji waliopita nikiwa mwana igunga. hakuna kitu ambacho RA anavuna igunga kama jimbo. igunga hakuna madini wala raslimali yoyote anayonyonya. wana igunga wamempa kura kuwa mwakilishi kama majimbo mengine. issue ni kwamba anatumia uwakilishi wake wa ubunge kujipatia utajiri sehemu nyingine. Quote me, MAJI YA ZIWA VICTORIA yatakwenda igunga kabla ya tabora, nzega au wilaya nyingine za shinyanga!