Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,582
- 111,344
Hilli tangazo nimelipata last week nikaitumia hiyo namba huo ujumbe lakini sikupata jibu lolote. Leo nimeweka 50k imepokea. Ni juu ya cdm kuhamishia hizo pesa kwenye account ya bank kila mara. Haya makampuni ya simu mengi yanapokea maagizo ya majizi ya ccm.Watu wengi wameeleza kushindwa kuichangia CHADEMA kupitia mtandao wa Mpesa/Vodacom. Baadhi ya waliojaribu kuwasiliana na Vodacom huduma kwawateja, wameambiwa kuwa eti akaunti hiyo ya CHADEMA imejaa pesa, na hivyo haiwezi kupokea hela zaidi. Wakati kwenye makubaliano kati ya CHADEMA na Vodacom, akaunti hiyo ya CHADEMA, haina ukomo wa kupokea pesa. Hivyo kushindwa kupokelewa pesa kutoka kwa wadau wa CHADEMA inaonekana ni mpango uliosukwa kati ya Vodacom na mahasimu wa CHADEMA, kwa nia ya kuihujumu CHADEMA.
Kweli CCM ni chama cha uharibifu wa kila eneo!!!
Muda si mrefu, viongozi wa CHADEMA watatoa tamko kuhusiana na uharamia huu wa kampuni ya Vodacom.
View attachment 3254909