Inakuaje akaunti ya M-Pesa ya CHADEMA inasema pesa zimejaa wakati kwenye makubaliano Vodacom ilisema akaunti haina ukomo?

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
19,298
48,698
Watu wengi wameeleza kushindwa kuichangia CHADEMA kupitia mtandao wa Mpesa/Vodacom.

Baadhi ya waliojaribu kuwasiliana na Vodacom huduma kwawateja, wameambiwa kuwa eti akaunti hiyo ya CHADEMA imejaa pesa, na hivyo haiwezi kupokea hela zaidi. Wakati kwenye makubaliano kati ya CHADEMA na Vodacom, akaunti hiyo ya CHADEMA, haina ukomo wa kupokea pesa.

Hivyo kushindwa kupokelewa pesa kutoka kwa wadau wa CHADEMA inaonekana ni mpango uliosukwa kati ya Vodacom na mahasimu wa CHADEMA, kwa nia ya kuihujumu CHADEMA.

Kweli CCM ni chama cha uharibifu wa kila eneo!!!

Muda si mrefu, viongozi wa CHADEMA watatoa tamko kuhusiana na uharamia huu wa kampuni ya Vodacom.

IMG-20250228-WA0037(1).jpg

Pia soma: Vodacom yatolea ufafanuzi Malalamiko ya Ukomo wa Kupokea pesa kupitia huduma ya Mpesa
 
Watu wengi wameeleza kushindwa kuichangia CHADEMA kupitia mtandao wa Mpesa/Vodacom. Baadhi ya waliojaribu kuwasiliana na Vodacom huduma kwawateja, wameambiwa kuwa eti akaunti hiyo ya CHADEMA imejaa pesa, na hivyo haiwezi kupokea hela zaidi. Wakati kwenye makubaliano kati ya CHADEMA na Vodacom, akaunti hiyo ya CHADEMA, haina ukomo wa kupokea pesa. Hivyo kushindwa kupokelewa pesa kutoka kwa wadau wa CHADEMA inaonekana ni mpango uliosukwa kati ya Vodacom na mahasimu wa CHADEMA, kwa nia ya kuihujumu CHADEMA.

Kweli CCM ni chama cha uharibifu wa kila eneo!!!

Muda si mrefu, viongozi wa CHADEMA watatoa tamko kuhusiana na uharamia huu wa kampuni ya Vodacom.

View attachment 3254909
Serious
 
Propaganda za kipuuzi kabisa hizi. Kama akaunti imejaa pesa tuonesheni ni shilingi ngapi zimo humo! Lissu HANA ubavu wa kuchangisha zaidi ya milioni kumi. Ushahidi ni michango ya gari lake.
 
Sasa kwa akili zako ulifikili kweli ile ilikua ni michango ya gari? Ile ilikua ni mipango ya kuandaa pesa ya kampain ya kupambana na mbowe
 
Back
Top Bottom