Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

MWANAHARAMU

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
4,237
11,131
Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda.

Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha.

Tena wanasema na kuongea hadharani.............
 
FB_IMG_17428386181660966.jpg
 
Dini ni suala la kiimani sijui kwanini tunafikiri kwamba mtu analazimika kufuata dini au imani fulani kisa tu yeye ni jamii fulani?
Shida ni pressure inayotoka kwenye jamii kwa watu wanaona vitu kwa mitazamo tofauti.
 
Kwani wakikaa kimya watapungukiwa nn , kiufupi hamna mwenye akili zaidi ya ujuaji na ushamba ...Hao jamaa zako hawana hoja ni wajinga tu wanaweza kuwasikiliza.
 
Back
Top Bottom