Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Hii Subaru yenye cc 650 vp wadau? wataalam naomba muichambue.

Screenshot_20200813-071644.jpg
 
Inapumzika muda gani?
Kaka engine haichoki ili mradi tu inafanya kazi katika aptimum condition. Mfano mm narndesda gari ya 4 ss, nlianza na toyota crona nikiwa udsm,nikauza nikanunua toyota opa, nikauza nikanunua passo, nikauza nikarudia passo tena. Ukitaka kwenda sawa na passo acha ligi, japo mm njiani napenda ligi ila na gari km ist na huwa speed yangu ni constant 120+full ac sijawahi fungua vioo. Ukienda hivo wala huichoshi passo utafika hata mbinguni bila shida.
 
Hivi passo za zambia, congo, rwanda zile IT zinazoshukia bandarini dar huwa zinapelekwaje nchi zao?? huwa zinabebwa na malori au zinaendeshwa??? na je dar lubumbashi au kigali au lusaka ni chini ya km 200???

isijekuwa mtu kauziwa mkweche anatudanganya hapa
Nimeondoka nayo juzi inaenda tunduma moto bati ana5embea 130 muda wote. Ila inachosha sana unajikunja kama kwenye ndoo
 
Back
Top Bottom