Inafaa Rais Magufuli atuombe msamaha raia wake sakata la sukari?

Duh! Mkuu unafikiri kwa kutumia kiungo gani wewe?
Tatizo lenu nyie wasomi na wenye akili nyingi mnaofikiri kwa vina, mnafikiri suala la kuibadilisha jamii corrupt ni la usiku mmoja na hutokea simply kama bibi harusi kupata mimba honeymoon. Hivi ni vita.
 
ForumsGeneral ForumsJukwaa la Siasa

Waziri mkuu marehemu Sokoine RIP
Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Queen Esther, Today at 9:44 AM.

  1. Queen EstherJF-Expert Member
    Ndugu zangu ma Great Thinkers na Ma Think Tank wa nchi hii heshima kwenu.

    Namshukuru sana Mungu kwa uzima wa mwili na roho, hata kuviwezesha vidole vyangu kufanya hii kazi kwenye laptop.

    Awali ya yote naomba kuwarudisha nyuma kidogo kwenye Serikali ya awamu ya kwanza, Serikali ya Mwl Julius Nyerere na Waziri Mkuu wake Edward Sokoine na IGP wa wakati huu Mzee Elangwa Shaidi (wote wapumzike kwa amani).

    Serikali hii ilipambana sana na watu wanaoitwa "WAHUJUMU WA UCHUMI". Aidha walifanya kazi kwa pamoja kwa ushirikiano mkubwa sana sana kuhakikisha malengo yao yanatimia. Wote walikuwa wanatetea kile walichokiamini katika harakati za kumkomboa mtanzania huyu mwenye kukandamizwa na adui UJINGA, MARADHI na UMASIKINI.

    Vita yao ilijitokeza katika kuhakikisha wanawalinda RASILIMALI ZA NCHI hadi wa Tanzania wajipange kuhakikisha wanajipanga namna ya kumiliki RASILIMALI zao na kufanya kazi KIZALENDO. Walikuja na mipango mbalimbali wote tunaijua.

    Hata hivyo waliibuka watu ndani kwa ndani wakahakikisha wanaua kila kila ikiwezekana hata na hao wanaosimamia ukweli huo. Hapo ndipo iliinuka vita kubwa ya WAHUJUMU UCHUMI. Wote mlioko mtakumbuka vita hii ilikuwaje na hawa WAHUJUMU uchumi walifanya nini wakashinda na walioshindwa waka Rest in Peace. Vita hii ilitengeneza matajiri wa kutosha na hadi leo wanaendeleza vita ile ile ya UHUJUMU UCHUMI. Naona vita ya Waziri Mkuu Sokoine ndio hii naiona tena inaibuka Tanzania. Sina hakika sana na TEAM WORK kama ni ile ile ya awali au ya sasa kuna mapengo kwenye TEAM WORK.

    Naandika makala hii baada ya kuona VITA YA SUKARI imeingia TZ ambayo ni vita iliyopiganwa miaka ya themanini. Vita hii ilisababisha magunia ya SUKARI yakatupwa Bahraini, kutelekezwa njia panda nk

    Sasa najaribu kufikiri maswali yanayokuja kichwani ni haya:-

    1. KWANINI VITA YA WAZIRI MKUU SOMOINE IMERUDI???

    2. JE INA MAANA WAZIRI MKUU SOKOINE ANAISHI TENA KUPITIA MIOYO YA WATU FULANI??

    3. JE INA MAANA VITA HII HAIKUISHA NA MUNGU AMETENGENEZA TIMU MPYA KUHAKIKISHA TIMU INAPANGWA NA KUCHEZA VIZURI
    KUHAKIKISHA YALE MAKOSA YA SOKOINE HAYARUDI?

    4. JE NI MAKOSA GANI TIMU YA UFUNDI SOKOINE ILIFANYA ILI TIMU HII IYAKWEPE?

    5. JE TIMU YA SOKOINE ILIKUWA NA NGUVU KWENYE MAENEO GANI AMBAYO SERIKALI HII HAINA??

    6. JE NI KWANINI WALE WANAOSEMA MDOMONI WANATETEA WANYONGE, MATENDO YAO NI TOFAUTI NA MANENO YAO NA NDIO WAPANGAJI WA CHINI CHINI NA WAFADHILI KUHAKIKISHA VITA YA KUMKOMBOA MNYONGE INASHINDWA KWA MARA INGINE TANZANIA??

    7. JE VITA YA KUMKOMBOA MTANZANIA MNYONGE ITAENDELEA KUBAKWA NA WAHUJUMU UCHUMI HADI LINI??

    Nakaribisha ushauri na majadiliano yenye mrengo wa kusaidia vita hii iliyoanzishwa na Serikali ya awamu ya kwanza na sasa imerudi kwenye Serikali ya awamu ya tano. Je SOKOINE alikuwa Mussa na sasa tunae Joshua na tunaelekea nchi ya MAZIWA NA ASALI. Je tuwaogope majitu au tuwaone kama mapanzi??

    Karibuni tuchangie kwa MUSTAKABALI WA NCHI YETU.

    Queen Esther

Kipindi cha nyuma serikali ilitoa bei elekezi ya sukari nchini kuwa @ TSh 1,800 na kuzuia kuingiza sukari kutoka nje ili viwanda vyetu viweze kuzalisha sukari ya kutosha.

Nahisi hii ilitokana na ushauri aliopewa Mh Rais na washauri wake kuwa viwanda vyetu vinauwezo wa kuzalisha sukari ya kutosha na kukidhi mahitaji ya watanzania.

Baadae hali ikawa mbaya bei ya sukari ikapanda zaid mpaka sehemu nyingine inakadiriwa kufikia @ TSh 3000 kwa kilo moja.

Hali imezidi kuwa mbaya na Waziri mkuu alitoa tamko bungeni kuwa wameagiza sukari kutoka nje ili kunusuru hii hali na hata Mh Rais akiwa Babati kwenye ziara yake alisema wamegiza sukari kutoka nje.

Swali la kujiuliza, wakati wanazuia sukari kuingiza sukari kutoka nje hawakuliona hili tatizo kama linaweza kutokea? Walifanya upembuzi yakinifu ili kujua uwiano wa kiwango cha sukari kinachozalishwa na viwanda vyetu vya ndani na mahitaji ya watanzania?

Kwa maamuzi yao hayo ya kuzuia kuingiza sukari Bila kufanya uchunguzi na kujipanga na kufanya watanzania wapate shida kwa kukosa sukari na kupanda kwa bei ya sukari, Je Rais na serikali yake inafaa watuombe msamaha watanzania kwa kosa lililotokea?
 
watanzania wengi hamjui TATIZO, mtalaumu sana na kusaga meno

unajua ukiwa mjinga ni mjinga, tu ni heri

ila ukiwa mpumbavu kwa kudhani wanaotoa amri hizi ni wajinga basi ndio tunapokosea

Lengo

1. kuongeza ajira za ndani
2. soko la wakulima wadogo wa miwa
3. soko la viwanda vya ndani
4. uhakika wa kodi
5. kulinda afya za mraji, sukari nyingi za nje ni feki, expired n.k

Kilichotokea

1. wazalishaji ndio wamepewa vibali vya kuagiza, kwao wanaona kuagiza ni nafuu kuliko kuzalisha!!

miaka hii, nyakati hizi kipindi hiki cha globalization TUMELILIA SANA SERIKALI KUJALI WAZAWA kwenye kazi za kuajiriwa, tender n.k

hawa wenzetu wa viwanda hivi serikali inawajali lakini wamekuwa wahuni kama mnavyoona, wame BETRAY LENGO ZURI LA SERIKALI

HAO NDIO MAADUI
 
Kama sukari yenyewe tulikuwa tunauziwa ilikuwa imeisha muda wa matumizi bora alivyozuia tu
 
watanzania wengi hamjui TATIZO, mtalaumu sana na kusaga meno

unajua ukiwa mjinga ni mjinga, tu ni heri

ila ukiwa mpumbavu kwa kudhani wanaotoa amri hizi ni wajinga basi ndio tunapokosea

Lengo

1. kuongeza ajira za ndani
2. soko la wakulima wadogo wa miwa
3. soko la viwanda vya ndani
4. uhakika wa kodi
5. kulinda afya za mraji, sukari nyingi za nje ni feki, expired n.k

Kilichotokea

1. wazalishaji ndio wamepewa vibali vya kuagiza, kwao wanaona kuagiza ni nafuu kuliko kuzalisha!!

miaka hii, nyakati hizi kipindi hiki cha globalization TUMELILIA SANA SERIKALI KUJALI WAZAWA kwenye kazi za kuajiriwa, tender n.k

hawa wenzetu wa viwanda hivi serikali inawajali lakini wamekuwa wahuni kama mnavyoona, wame BETRAY LENGO ZURI LA SERIKALI

HAO NDIO MAADUI
Mkuu wana wa nchi huwa hatujulikani tunataka nini, kila ngoma ikipigwa tunaisakata vilivyo.
 
Tena atuombe msamaha wa dhati kabisa kwa usumbufu na adha tunayoipata.
Kila kitu bei juu bado anatuongezea balaa la sukari.
Tena bora ingetokea kwa bahati mbaya,hii sio sawa.
Ila bei ya ukawa bado ni buku jero so walevi kwao chai si mpango
 
Katika safari yako maisha yako yoootee umewahi kukumbana na sukari ni kwenye chai ty

Kwani walipomshauri Dr Mafufuli, yeye Dr Magufuli kwanini hakuwaambia hao wachauri wamletee ripoti ya "tathmini" inayoonyesha kwamba uzalishaji wa viwanda vya ndani unajitosheleza ili ajiridhishe, kabla hajatoa tamko la ku-stop importation?
Hata ingekuwa kwenye mbege inabaki kuwa sukari tu.
 
Kama Mary Nagu alihojiwa PCCB kwa kumshauri Rais aruhusu tena uagizaji wa sukari kukabili upungufu kwa hoja kuwa huenda kahongwa na Importers wa sukari anapaswa kuombwa radhi kwa kudhalilishwa kwa kuwa Jana Rais Magufuli kanyoosha mikono na kutekeleza ushauri tena kwa haraka kupitia serikali yenyewe
Sasa ni wakati wa PCCB kuwahoji waliompotosha Rais akazuia importation bila ya kutathmini Mahitaji halisi na uwezo wa wazalishaji wa ndani kutosheleza mahitaji. Huenda Makampuni ya ndani yaliwahonga washauri wa Mzee Ili yapate mseleleko bila ya kuwa na uwezo!

Lingine la kujiuliza ni hili, walipomshauri Dr Magufuli, yeye Dr Magufuli kwanini hakuwaambia hao wachauri wamletee ripoti ya "tathmini" inayoonyesha kwamba uzalishaji wa viwanda vya ndani unajitosheleza ili ajiridhishe, kabla hajatoa tamko la ku-stop importation?
 
~~~>>Wananchi wa Dar jiandaeni kwa Kupewa sukari iliyokamatwa huko Mbagala na Tabata...

~~>Raisi aliahidi kuwa atagawa bure..... Tunasubiri utekelezaji tu.
 
Rais alikuwa na dhamira njema lakini alikosa weledi katika kutekeleza dhamira yake njema. Hili ni funzo kwa Magufuli na serikali yake.
 
Back
Top Bottom