BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,989
- 32,649
Hongera sana,Mungu aendelee kukusimamiaMh yaani Mungu tu anatulinda, wangu nilimpa maziwa ya ngombe tangu siku ya pili kuzaliwa na ikaendelea hivyo, sahiv ana miez mitatu anakunywa na uji, sijui lakini tangu amezaliwa kaumwa mafua tu mara moja. Namshukuru Mungu tu