Ina maana watu wote Duniani tumepotea? Ni nani ataiona mbingu?

I did not say you need to get rid of it, I just pointed out you have it.

It is perfectly fine to have it.

It is perfectly fine to believe in a non existent God. It is even protected by The Universal Declaration of Human Rights and the Tanzanian constitution.

But the moment anyone brings God for discussion here at JF, it is perfectly fine to point out holes in the God theory too.
Poa poa mkuu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo, let alone kwamba ni Supreme.

Thibitisha kwamba yupo.
Mkuu Alwatan habari yako, mkuu swala la imani pekee ndilo linalopelekea kuamini au kutoamini mungu yuko au hayuko, mfano kwa waislam kuamini yasiyoonekana ni moja ya msingi mkubwa sana katika imani hiyo, mfano tunaambiwa kupitia quran kwamba Allah yupo na moto upo pepo ipo na mengine meengi.
Kwa hiyo ukitaka ithibati ya uwepo wa mungu katika uislam ni kuangalia dalili zake, mfano jinsi alivyotuumba au alivyoiumba dunia na mengine mengi.
Mkuu labda pia nikushauri kama kweli unataka kupata ithibati ya uwepo wa mungu basi nenda kwa wajuzi wa imani hizi,naamini ukitoka huko utakuwa na jambo jipya.
Karibu sana.
 
Una hakika gani kwamba katuumba?

Una hakika gani kwamba kaiumba dunia?

Dunia ilivyo, inaruhusu njaa, magonjwa,vita, matetemeko ya ardhi.

Mabaya haya yanaua watu wengi,yanatenganisha mke na mume, baba na mwana, mamana mwana etc.

Ni mambo ya huzuni kabisa.

Kisha mnasema, Mungu aliyeiumba dunia hivi ni Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Kwa nini karuhusu maovu yote haya yawezekane?

Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani hata kufikirika?

Je, ni kwa sababu alitaka ila hakuweza? Kama alitaka ila hakuweza,huyu kweli ni Mungu muweza yote?

Au, ni kwa sababu aliweza ila hakutaka tu? Kama aliweza ila hakutaka tu, je, nikweli kwamba huyu Mungu ana upendo wote?

Au hizi habari ni hadithi tu na watu wanapozana tu kuepuka upweke wa kujua kwamba hakuna Mungu?

Jibu hili la mwisho lina make sense zaidi kwangu.
 
Mwanzoni mwa andiko langu nilikwambia "imani" yote hayo uyaonayo ni imani, na katika uislam kuamini yasiyoonekana ni moja ya misingi ya uislam.
 
Mwanzoni mwa andiko langu nilikwambia "imani" yote hayo uyaonayo ni imani, na katika uislam kuamini yasiyoonekana ni moja ya misingi ya uislam.
Kuamini yasiyoonekana si tatizo.

Unapopanga mkutano wa kesho tayari ushaamini yasiyoonekana, hujaiona kesho hivyo, unajuaje kwamba utakuwepo?

Hata sayansi inakubali kwamba kuna miale ambayo haionekani.

Sehemu tunayoweza kuona ni ndogo sana katika miale yote, hiyo hapo chini ipo katika visible, na inawezekana tunakoendelea kwenye sayansi tukagundua vitu zaidi ambavyo hatujui.

Lakini, vitu hivi visivyoonekana havijichanganyi, havitupi logical inconsistency.

Habari zenu za Mungu siyo tu hazithibitishiki, bali piazinajichanganya.

Ukianza kusoma Quran sura za mwanzo tu hapo (samahani sina Quran) unaambiwa Mungu ni mwenye rehema zote.

Ana upendo mkuu. Ni Mungu wa haki kuu.

Halafu hapo hapo mbele kidogounaambiwa kuna waja Mungu atawafanya mioyo yaoiwe migumu sana kumuamini, kisha atawachoma motoni kwa sababu hawajamuamini.

Sasa kweli huyu Mungu ambaye ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, mwenye hekima kuu na haki kuu, anawafanya waja wake kwa makusudi yake wawe na mioyo migumu wasimkubali, halafu siku ya kiyama atawahukumu na kuwachoma moto kwa sababu hawakumuamini.

Kitabu cha dini kinasema hivyo.

Hivi huyu Mungu ana akili kweli? Huyu Mungu yupo kweli au ni story tu?

Mungu anakunyima uwezo wa kumjua, na yeye ndiye mwenye uwezo wote, akikunyima uwezo wa kumjua hata ujitahidi vipi huwezi kumjua, halafu usipomjua, anakuhukumu siku ya kiyama kwa kutomjua.

Does this make sense?

Huyu Mungu yupokweli au ni stories tu?

EM_Spectrum_Properties_edit.svg
 
Mtu kabla ya kujibu hili swali ni vyema utambue kuwa neno Mungu liko katika dhana kuu 2.
Moja:Mungu kama jina au cheo kinachomaanisha ukuu kuliko kila kitu na ndiye muumba wa Mbingu na nchi na vyote vilivyomo ndani yake.
Pili: Mungu ni kitu chochote kinachopewa hadhi ya kuabudiwa. Iwe kazi,mnyama,mwanadamu,mlima au hata jiwe.
Kwahiyo anayesema hakuna Mungu hayuko sahihi kwa maana ya kwanza au ya pili ya neno Mungu hapo juu.
Suala la uhalali wa mungu yupi ndiye mkuu na muumba wa mbingu na nchi kila mmoja atavutia kwake na mimi ninavutia kwangu na ninaamini pasi na shaka kuwa niko sahihi.
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yeyote yupo, kwa njia ambayo ipo logically consistent? Yaniambayo haiwezikuwa contradicted?
 
Alwatan narejea kwako hili ni suala la kiimani zaidi, ithibati uitakayo ni muhali kuipata.
Kwa hakika wewe huhitaji maelezo bali unahitaji uhalisia na huo kuupata kwa jinsi ya uitakavyo haitowezekana kamwe.
Narudia tena ushauri wangu kwako kama kweli una lengo la kutaka kujua habari za mungu basi tafuta wasomi walio bobea katika maswala hayo kutoka kila upande naamini utapata jibu la jambo ulitafutalo.
 
Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi kwa mujibu wa dini, na zinadai mpaka sasa Mungu anaishi Mbinguni

Swali
Kabla ya Mungu kuumba Mbingu na kuhamia huko, hapo awali alikuwa akiishi wapi?
Wewe umekalili kitabu kimoja cha kikiristu kutoka Mwanzo je kitabu cha wale wahindi wanaabudu ng'ombe kinasemaje au unaamini wale wamepotea wewe uko sahihi??
 
Maisha na matendo ya mwanadamu ndiyo suluhisho. Kuishi kwa kumpendeza Mungu, kuvumilia adi siku ya kifo au ya mwisho na utaokoka!
Yakobo 2:27... Dini ya kweli ni pamoja na kuwasaidia yatima, wajane na wenye haja!
 
Yesu hakufa ili wewe uende Mbinguni (km IPO? Yesu alileta falsafa ili we uondokane na matatizo,

Hayo mengine waliongezea tu kukuza dini yao,

Mfano km ilivyokuwa falsafa Mwalimu ya Ujamaa na Kujitegemea,

Kuondokana na matatizo ndiyo kwenda kwenyewe mbinguni. Mbinguni unaanza kufika unapoanza kufifisha nguvu za mwili na kuenenda "kiroho", yaani kujikana na kuachia nguvu yako kuu ikuendeshe. Unapoweza kuvuka vizingiti vya mwili ambayo hukuingiza matatani utakuwa na amani na furaha, hutahukumiwa nafsini mwako wala hutahukumiwa na mtu, wala hutakutana na matokeo ya dhambi kwa hiyo hutakufa. Hutakuwa unafanya mambo kwa kuongozwa na tamaa za mwili bali na "kweli" au sheria au dhamiri. (kufa hapa si kutengana mwili na roho bali kufa kwa heshima, kwa ndoto, kwa mipango, kwa uchumi, kwa mahusiano, kwa dhamiri, kwa viungo vya mwili au mwili mzima kutokana na dhambi, kupoteza amani, kazi, nguvu za kiroho n.k. Kila mtu anajua ni kitu gani chake kimewahi kufa kwa kuendekeza mambo ya mwili).

Kwa hiyo ukisema Yesu hakufa ili twende mbinguni (kama ipo) bali alileta falsafa ili tuondokane na matatizo utakuwa unaongea kitu kilekile. Yesu ni falsafa kwa maana ya kwamba ni yeye ni Neno. Kwa maana nyingine yeye ni Maarifa (knowledge). Ukiyaamini na kuyatenda utapata uzima wa milele. Anasema "na uzima wa milele ndiyo huu": watu wamjue Mungu na waamini kuwa Mungu ndiye aliyemtuma. Kwa hiyo kumjua Mungu kutakupa ufahamu wa mema na mabaya, kutakupa nguvu ya kupingana na mwili ili utende mema kwa ajili ya wema ambao ndiyo Mungu, kwa hiyo hutategemea furaha na amani toka vitu vya kimwili au vya muda kwa hiyo utapata amani ya kudumu hapa hapa duniani. Kwa hiyo mbingu ipo na kinyume chake ipo; ni hali ya kuwa na si mahali kama Moshkwetu au Jupiter.

Mungu ambaye ni Neno anakaa moyoni mwa mtu. Huko ndiko hekaluni mwake. Daudi kuna mahali anasema jambo moja analolitaka kwa Mungu ni kutazama uzuri wake na kutafakari hekaluni mwake. Sasa hivi si vitu vinavyofanyika mtu akiwa amekufa. Anaposema "moyoni mwangu nimeliweka neno lako ili nisikutende dhambi" anamaanisha maarifa ya kimungu, ukiita falsafa sawa, ambayo yanampa mwongozo wa kuishi. Sisi wakristo huambiwa mara nyingi kuwa Yesu anabisha mlangoni tumfungulie aingie maana yake ni kuwa tuweke maarifa ya kimungu kwenye mioyo - huko zitokako chem chem za uzima (neno) ili tuepukane na hukumu ya dhambi. Kitabu cha Ufunuo kinasema "kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya. ..... tazama maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu". Na kitabu cha Yohana kinatuambia Mungu ni Roho na Mtume Paulo anasema miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu. Kwa hiyo ukimkaribisha atafanya maskani pamoja nawe hivyo utakuwa pamoja na Mungu, yaani mbinguni. Na kumkaribisha ni kujifunza "neno" kuliweka moyoni na kulizingatia/kuliishi. (Kwa mtazamo wangu.)
 
If not everything can be proved scientifically, does that prove god exists?

Science is not established by what some giant said. That is religion.

Science is established by investigation.

The problem is you have not studied science.

I have studied multiple biographies of Einstein and Newton.

Newton is so far removed from modern science that in his time he was into alchemy and all sorts of crank projects.

He believed in a non-relatistic world where time is constant for all observers.

Einstein corrected that.

Do you still want to go by Newtons every word in a world where there are better sources?

Einstein confused a lot of people by using the word "God" loosely. By God he meant more "the mysteries of the Universe" than the personal God who created the heavens and earth.

Do you know Einstein did not believe in the personal God?

Mkuu acha kupotosha watu na kujipotosha kwa kujidanganya wewe ni mwanasayansi,

MUNGU kwenye vitavu vitakatifu kaelezea juu ya uwepo wake na kaelezea yaliyowapata wa kabla yetu ( wabishi) pia kaelezea wabishi wa kipindi hiki ambao wamekuwa wapingaji wakuu.

Sasa kama wewe ni mwanasayansi kasome maajabu ya elimu ya sayansi kwenye QUR'AN takatifu halafu ndo utajua miaka 1400 iliyopita ilukuwaje watu wakajua mfano tu kuwa bahari ni around 71% na ardhi around 29% ya dunia yote
Halafu mwanaume katajwa mara 23 na mwanamke katajwa mara 23, i hope unaelewa maana ya hizo namba...

Halafu MUNGU akatoa challenge kidogo tu akasema UMBENI hata MBU tu na visayansi vyenu halafu hapo mtakuwa atleast na kahoja kakuanzia,

Mwanasayansi au binadaamu mwingine yoyote mwenye akili hawezi kukanusha uwepo wa mungu
 
Maswali niliyouliza hujajibu. Unahubiri tu.

Kama Mungu yupo, anabuwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote.

Na yeye ndiye aliyeuumba ulimwengu huu.

Na angeweza kuuumba vyovyote alivyotaka.

Na ulimwengu huu aliouumba unaruhusu kuwepo kwa njaa, magonjwa, matetemeko,maovu mengi.

Kwa nini kauumba hivyo?

Kwa nini hakuumna ulimwengu ambao hauruhusu mabaya hayo na yoyote?
 
Ili iwe mtihani kwetu, atakayepasi mtihani atalipwa na atakayefeli ataadhibiwa
 
Ili iwe mtihani kwetu, atakayepasi mtihani atalipwa na atakayefeli ataadhibiwa
Kwa nini Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote ahitaji kutuwekea mtihani?

Akihitaji kutuwekea mtihani, ni kweli anajua na kuweza kila kitu?
 
Kwa nini Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote ahitaji kutuwekea mtihani?

Akihitaji kutuwekea mtihani, ni kweli anajua na kuweza kila kitu?

Hivi mfano tu mdogo mwalimu akitoa mtihani huwa anajua wanafunzi wake na mara nyingi anawajua watakaopasi na watakaofeli..... sasa sioni hata logic hapo

Sasa hilo anajibu kuwa huyo ndiye MUNGU MWENYE UJUZI WOTE NA NGUVU ZOTE

Kaamua kutoa mtihani hakuna cha kuhoji OVER.
 
Katika kuwaza leo nimewaza hili!

Duniani tupo 7.4 billion nikajiuliza tuna madhehebu mengi sana na mengine ya amini miungu yao!

Ukianza na uislamu wao wanaamini Mungu sawa na christianis wote ambao tunaamini Mungu!Hapo hapo kuna madhehebu ya wahindu,wagoa wabudha wao wanaamini tofauti na waislamu na wakiristo!

Swali langu nani yupo sahihi? Ni wepi hatauona ufalme wa mbinguni?
Maana vitabu vyote vinaongelea imani yake!Sasa hapo nani mkweli?au wote tutaenda mbinguni kwa imani yake?

Kwa hiyo vitabu vina kauongo.flani?
Ni wazi tunafahamu kuwa dunia ni sayari ya 3 ktk mfumo wa sayari zilizopo kwa maana hyo juu kutoka duniani unaingia sayari ya 4 na syo mbinguni japo wengi waangalia juu(sayari ya4) wakijua wanatazama mbinguni na kwa chini yetu kuna sayari ya 2 sasa najiuliza kuzimu ni wapi maana kwa chini unakuwa unaenda sayari nyingne tofauti na ardhi hii tuionayo maana hiyo ilipo bado ni duniani. Na mungu ndie muumba wa mbingu na dunia(sayari ya3).

Sasa je, muumba wa hzo sayari zingne ni nani na wakati zote ni familia moja na dunia? Maana zote hulizunguka jua, na kingne cha kushangaza eti bado kuna sayari mpya znagunduliwa wakati mungu Alisha maliza uumbaji...
 
Back
Top Bottom