Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,935
- 4,318
Kwa nini hakwenda Samia na Waziri Kombo kama alivyokwenda Indonesia na Januari.?
Mi nadhani nchi yetu ina special relationship na UK,rais alipaswa kwenda kwenye ule mkutano.
After all Malkia ndiye aliyeamua ugomvi na Maalim Seif katika Uchaguzi uliopita.
Magufuli alikuwa poised kumuondoa Mohammed SheIn. Data zake zilkuwa zinamwonyesha Maalim Seif kashinda Uchaguzi.
Rais angekwenda kule na First Gentleman.
Katika safari kama zile wakisafiri pamoja wanakaa vyumba tofauti.
Nimeona Queen alifika hapa na Prince Phillip alipewa chumba cha peke yake.