Ina maana hata kukiss hujui?

Hahah pole sana,
kwa wanaume wengi wao wanaonuka midomo huwa ni watumiaji wa sigara au pombe
Yani kwangu hata uwe na Pesa kiyasi gani lakini ukinuka mdomo na jasho lilopitiliza ujue kwangu huna nafasi,hua nashanga
sana kuona mwanamke mumewe ana nuka jasho mpaka unafungua vioo au akisema unatamani ukimbie kwa harufu lakini kumwabia mumewangu tumia hii au dawa hii nzuri hamwambii sijui anamuogopa nashindwa kuelewa kabisa..
 
Kwa wanawake na wanaume, wote msikie,

Kuna baadhi yenu mnatamani kuwa na relationship nzuri, lakini tatizo hata kissing tu ni shida. Mtafeli! Unakiss na mtu ana vurugu utadhani anapalilia migomba, haieleweki anafanya nini, hadi ukitoka hapo unapitia dukani kununua salimia ukajichue lips zote za moto, hoi, nyang'anyang'a.

Jamani naongopa? Hamna watu wa aina hii? Even kissing is a problem, ukipewa kulima lami si ndo utaleta maafa? Kwani kujifunza kissing nayo imekuwa ngumu kama mzaramo kuongea Spanish? Wengine mnakosa na mmekosa wachumba hivihivi kwa kudharau hili, Day 1 tu umepewa kideti unakiss unaruka ruka kama Mabehewa ya Tazara.

Mdada wa watu anaona mmmh! Hiki kimbembe, siku ya kukupa jibu Anakwambia,''sorry, I think I am rushing into this relationship, I need time to be alone'' kumbe umeharibu mwenyewe kaogopa tu kusema hujui kubusu maana akikwambia utampiga makofi na wengine mtaanza kutukana bure lakini habari ndo hiyo, utapigaje busu kama unapigana vita vya Maumau.
Kwaupande wako, uko vzuri et??!
 
Kwa wanawake na wanaume, wote msikie,

Kuna baadhi yenu mnatamani kuwa na relationship nzuri, lakini tatizo hata kissing tu ni shida. Mtafeli! Unakiss na mtnau a vurugu utadhani anapalilia migomba, haieleweki anafanya nini, hadi ukitoka hapo unapitia dukani kununua salimia ukajichue lips zote za moto, hoi, nyang'anyang'a.

Jamani naongopa? Hamna watu wa aina hii? Even kissing is a problem, ukipewa kulima lami si ndo utaleta maafa? Kwani kujifunza kissing nayo imekuwa ngumu kama mzaramo kuongea Spanish? Wengine mnakosa na mmekosa wachumba hivihivi kwa kudharau hili, Day 1 tu umepewa kideti unakiss unaruka ruka kama Mabehewa ya Tazara.

Mdada wa watu anaona mmmh! Hiki kimbembe, siku ya kukupa jibu Anakwambia,''sorry, I think I am rushing into this relationship, I need time to be alone'' kumbe umeharibu mwenyewe kaogopa tu kusema hujui kubusu maana akikwambia utampiga makofi na wengine mtaanza kutukana bure lakini habari ndo hiyo, utapigaje busu kama unapigana vita vya Maumau.
mbaya zaidi iwe ni FRENCH KISS
 
duuuh kweli kabisa kuna demu mmoja haya mambo hajui kabisa

tulikiss ila cha moto nilikiona lips zote azifai mtoto anameno makali yule duuuh

mpk nikajiuliza au anayanoa meno mana sio kwa kunirarua kule lips
 
Yani kwangu hata uwe na Pesa kiyasi gani lakini ukinuka mdomo na jasho lilopitiliza ujue kwangu huna nafasi,hua nashanga
sana kuona mwanamke mumewe ana nuka jasho mpaka unafungua vioo au akisema unatamani ukimbie kwa harufu lakini kumwabia mumewangu tumia hii au dawa hii nzuri hamwambii sijui anamuogopa nashindwa kuelewa kabisa..
Ukisikia watu wenye roho za paka ndo hao,
Wale watu wanaoweza kumpenda mtu asiyejipenda....
 
kuna wale wanaokiss wakat katoka kula wali.. yaan ukimaliza unajikuta na vipande vya mchele mdomoni....!!!!
ha!!!! ha!!!! ha!!! ha!!!! ha!!!
Ishawahi kunitokea hiyo, yani katikati ya romance najikuta naanza kufeel vipande vya mboga za majani mdomoni... Nikamuuliza vimetokea wapi akasema ametoka kula dah...
 
Mwaka mgumu sana huu.
Majipu mpaka kwenye mapenzi.

Mtu anakunyonya mdomo mpaka lips zinauma.
Jamani ukinyonywa denda sharti ulegeze misuli ya lips ili mwenzako aifaidi hiyo nyama laini. Sio kukaza misuli Kama mnyanyua vyuma.
Bora uwaambie wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom