Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,374
- 72,891
Nani unataka kumpotezea muda na maswali ya kitoto na kijinga? Hivi unadhani Chadema au CCM wakitafuna ada za wanachama, ruzuku waliyopewa tayari au michango waliyokusanya kuna athari gani kwa ile zahanati Kule kijijini inayo muhudumia Shangazi yako?Nimeulizia kama wapo, swla la athari tutajadili baadae kidogo
Muwe serious nyie watu, ujinga huu mnaoleta kwenye mambo muhimu ndio unafifisha heshima ya Jamiiforums iliyokuwa nayo hapo awali.
Zamani kiongozi akijadiliwa JF halali anafuatilia nondo za ukweli anazotwangwa, lakini siku hizi toka wahuni mvamie hata mijadala isiyo na utani mmegeuza mambo ya KITAIFA YA MSINGI kuwa uwanja wa vyama kama ilivyo Kule simba na yanga.
Acheni ujinga nchi inaangamia nyie mnabaki na upambe