Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Mwanamke akishafikia hatua hiyo ni wachache sana ambao wanaweza kupata ufahamu wa kurudi nyuma na kuwa na mapenzi na ww kama mwanzo,kwangu mimi napenda mwanamke ambae anaweza kuniheshimu na kunipenda upendo unapotoweka na kuanza kuumizwa hua siwezi kukubali maumivu kama hayo!Maisha yenyewe mafupi kwa nini kuumizana,kwa hiyo uamuzi unao wewe kunyoa au kusuka.Muda mwingine ni wenda wazimu kufikiri kwamba mwanamke akishageuka nyoka anaweza kurudi tena kwenye hali yake,atarudi kwako tu baada ya kutendwa kule alipoenda au kutoswa.
nafaham sababu zake ni kuni chikoza ni Mwache tugawane mali zangu, pia kuhusu udukuzi mm npo vizur sana
 
achana nae anza maisha upya ila nakushauri usikurupuke kutafuta mwenza mwengine kwa kumkomoa huyu wa zamani...kaa kwa muda wa kutosha jipange kisha tafuta mwanamke mwenye sifa za kuwa mke kisha muweke wazi huyo mkeo mpya kuwa uliwahi kuwa kwenye mahusiano na unae mtoto...inakuwa ngumu sana wanawake wa siku hizi kulea watoto wa wenzao...ila usikubari x wako aishi na mtoto wako itakuletea matatizo na itakugharimu sana its better ukaishi na mtoto wako...
 
Hili swala la mtu kumsomesha mwanamke huwa inakuaje? Yani anakupa nin au anakufanyia nin had unapoteza fahamu na kuamua kumsomesha? Huwa sielew hili pepo lina nguvu kiasi gani.

Unakuta mtu alipokuwa chuo alikua ni shuhuda mzur kuona wake za watu wanavyopachikwa bila huruma lakin unashangaa mtu huyu akipata visenti naye anasomesha.

By the way pole sana mkuu,kisasi ni dhami.Unahitaj mtu wa saikolojia utakuwa sawa.Futa kabisa mawazo ya kisasi
 
Dah! Pole ndug tena pole sna ila ushaur wang wa kwanza ucfe moyo na baadhi ya ushaur wa watu humu jf wapo watakao kushaur vzur na kukufarij na wengne watakuongezea machungu kwa kukubeza
 
Mkuu usifanye kosa kama hilo kumchukua mdogo wake! Wewe ndo unaweza kuja kugeuziwa kibao na ukaonekana ww ndo una matatizo, je mdogo wake akikutaa au akakubali na yeye akaja kukutenda zaidi? Wewe tafuta mke bora kwako atakae kupenda na kukuthamini kwa hali yoyote, kumchukua mdogo wake ni kulipiza kisasi, na ukifanya hivyo hata ww huwezi kuwa na amani moyoni
 
Kabla ya kuwaza kufanya kisas kwanza jipime je unaweza kweli kumsahau? Tumia kama siku 3 au 4 hv kujitathinin af jibu utakalopata naomba nijulishe kwa inbox yang naiman nitakushaur ushaur mzur utakao kusaidia
 
Kaka ushauri wangu,ni wewe kuachana na huyo mwanamke, mtunze mwanao, endelea na maisha yako mapya.Usijaribu kujishusha, atakuendesha hivyo maisha yako yote,cha muhimu achana naye kabisa
Huu ndiyo ukweli. Chapa lapa kaka. Ukiendelea kukaa utakutana na makubwa zaidi.
 
Ni vizuri kumshauri mtu kutokana na ushauri alioomba huwezi kujua wakati anaandika alikuwa ktk hali gani,pili amekiri kwamba yeye sio mwandishi mzuri!Kila mtu ana mapungufu yake,ni bora kama hauna ushauri wa kumpa mtu ukae kimya kuliko kuanza kumkejeli.
Uko sawa.
 
Msamehe tu lkn angeniona asinge tamka hayo maneno
Tuliza presha mkuu kaza roho kiume wala usimuoneshe km umepanick mwanamke akitiwa huko nje ya ndoa n kuanza kukudharau hamfiki popote, sitisha zoez la mahari mkuu usijepoteza hela zako Bure.... Kaa naye na wazazi utatue hili tatizo kabla hujaingia kwenye kifungo cha ndoa..... Coz marriage is not a playing ground
 
Kusomesha Mke cjui ni laana maana wengi waliosomesha wake wanavilio kila kukicha
Eeh Mola tusaidie
 
Umemsomesha yeye wewe mwenyewe unashindwa kuandika. Yawezekana ni hasira ulonayo ila mh! ungeandika hata kiingereza basi
 
Kama ana mdogo wake oa au ata Dada yake pia..... Duh ila pole sana
 
Back
Top Bottom