Hainaga ushemeji
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 451
- 777
- Thread starter
- #21
Mkuu mimi sio active humu ila hiki kitu nimekibaini na ndo maana nimekuja toa tahadhariI'd yako inasadifu mawazo yako
Mkuu mimi sio active humu ila hiki kitu nimekibaini na ndo maana nimekuja toa tahadhariI'd yako inasadifu mawazo yako
Don't have a wife, why the heck would i go all those troubles founding my own workout sanctuary???Storie are circulating!! Stories, stories, stories!!!! Kama mwanamke amegawa nje, ujue kuna mambo mawili tu, either hakupendi au humridhishi!! Baasi!! By tje way anzisha ka gym kako nyumbani kama unaogopa kuchapiwa, ni cheap sana tu!!
Nishawaambia mambo yanayoendeleaNajua wameelewaaa, hata wasipochangia
If You ain't hitting the gym wouldn't expect you to know two shits, ila wenzako wanaohudhuria wanaelewa what am saying mkuuEti stories are circulating,,,kwaiyo unaongelea fununu zisizo na uhakika?
Huu ni ushilawaduMkuu mimi sio active humu ila hiki kitu nimekibaini na ndo maana nimekuja toa tahadhari
Mkuu nimeleta tahadhari tuuHuu ni ushilawadu
Ndo hali halisi inavyokua huku mkuu, nimeleta tahadhari tuJamii masikini kutwa kuchakufikiria chini tu.
Na mi UKIMWI yote hii mtu anajifua anajiumiza apate afya nzuri, halafu anaenda kujirahisisha apate UKIMWI kwa kugigida ovyo wake za watu?
Mkuu gharama za gym shilingi ngap?Kuna gym hua naenda kufanya mazoezi hapo posta, yaani sipendi kuwaficha, huku gym wanawake hawa wanaliwa sana, mwanamme kama unafuga kitambi chako usiruhusu mke wako aje gym huku
Yaani kwa haraka haraka naona kama hawa wanawake wote members hapa wana vijana wa kuwaweka sawa(Nina marafiki wengi sana hapa so they tell me stuffs)
Ikifika mahali mwanamke ana mentality ya kua fit atatafuta a fit partner pia....
Ushauri wangu kwa wanaume ukiona mke au mpenzi wako anafanya mazoezi na diet ili awe vizuri afu wewe umekalia kufuga kitambi lazima utachapiwa tu hakuna namna yaani
Ni tahadhari tu maana I have seen enough
Najua. Sikusemi wewe. Nashangaa ujuha wa binadamu tu.Ndo hali halisi inavyokua huku mkuu, nimeleta tahadhari tu
Inategemea mkuu, hapa dar gym nzuri kuanzia 60k mpaka 150k kwa mwezi, zaidi ya hapo, well... https://jamii.app/JFUserGuide them...Mkuu gharama za gym shilingi ngap?
Mkuu ukija kwenye sex karibu kila mtu yuko weak, that's just natureNajua. Sikusemi wewe. Nashangaa ujuha wa binadamu tu.
Gyminataka moyo sana kwa sababu mazoezi si kitu rahisi.
Nilitegemea wanaoenda gym wawe waangalifu sana kuhusu afya zao na wasiwe na habari za kujichapia ovyo kwa kuogopa maradhi. Hususan kwa sababu wana muamko wa afya.
Lakini unaonekana wengine wanafuga vitambi na kupiga bia, wengine wana ulevi tofauti.
Ujuha wa utu.Ukiwa mkali huku, huku butu.
Basi wawasusie tu.Mkuu ukija kwenye sex karibu kila mtu yuko weak, that's just nature
Watu huku wanhustle mwaka mzima kutafuta body, wake za watu wakijichanganya wanapiga tu, usiombe kuchapiwa na raia anayepiga squats kila wiki, hapo mke huna tena
Vumbi la mkongo likasome
Mkuu najaribu kuwaambia wananipondaMkuu hapo wife akifika nyumbani anakwambia usiniguse nimechoka stress za kazi na gym na libaba linaitika sawa mama.
An ugly world where everyone wants everythingBasi wawasusie tu.
Kama mwanamke hataki mfuga kitambi na anataka six pack sasa kwa nini badoanakuwa na huyo mfiga kitambi?
Si aende kuolewa na huyo mwenye six packs tu watu wajue moja?