inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 18,301
- 18,757
Reasoning yako ndiyo ndogo,nilikua nakuonesha uislam umeingia lini tz na ukiristo umeingia lini,toka bagamoyo mpaka ujiji wanamuabudu Allah sw miaka 200+ kabla mmisionari wa kikiristo hajatia mguu Tanganyika,yaani hata Nyerere alibatizwa baadae Sana shuleni na kuchagua jina Julius baada ya kuvutiwa na Julius CaesarUnatia shaka kuhusu namna unavyojadili hizi mambo .
Kadili unavyoongea Kuna namna naona una shida ya reasoning.
Unaongelea himaya ya Kilwa miaka mingi iliyopita,wakati hapo juzi Tanganyika inapata uhuru idadi ya watu ilikuwa milioni 13.
Vipi miaka zaidi ya 300 nyuma,Tena kwa kipande kidogo kama kilwa? Idadi ya watu ilikuwaje?
Focus.