Ili taifa liendelee, linahitaji kiongozi mwenye msimamo, Rais Magufuli katupa somo

Duh Nyerere Umeondoka. na Yanayotokea Kama Upo Hai Maneno Yako Tunayafanyia Kazi.

Huyu Jamaa Kabadilika Sana.....
6bbf94118add488730561b185fd8db05.jpg
hapa ndiyo siku ile alipoenda kunywa dawa kwa babu wa Loliondo!!!! huwezi amini kama ni yéyé alivyobadlika najuta kumpa kura yang!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nchi za Libya na Misri ziliingia kwenye machafuko kutokana na tamaa za watu wachache na kwa sababu za kijinga jinga. Tanzania tumeanza kunyemelewa na hali hiyo pale tuliporuhusu watu wachache tena wengi wao hawapo nchini wakatawala bongo zetu.

Wakati wa sakata la ESCROW, baadhi ya mawaziri akiwemo Profesa Muhongo walijiuzulu kwa sababu tu ya msukumo kutoka kwa wabunge waliokuwa na maslahi binafsi na hoja hiyo. Nakumbuka mjadala mzito uliotawala kushinikiza Prof Muhongo ajiuzulu. Na alifanya hivyo baada ya kelele kuzidi. Hata hivyo, Rais Magufuli alipoingia madarakani akalazimika kumtejesha tena Muhongo kwenye wizara ile ile. Watu wakavimba mpaka wakapasuka. Sasa mambo ya epoa na umeme unasambaa vijijini.

Lilipokuja sakata la Operesheni TOKOMEZA baadhi ya Mawaziri walitolewa mbuzi kafara. Ni kutokana na kelele za akina Kangi Lugola ambao walienda na rundo la vielelezo bandia ili kuwaangamiza wenzao.

Limekuja suala la madawa ya kulevya. Makonda kaasisi mapambano hayo na sasa Tume ya Kamishna Sianga inafanya kazi kwa wepesi zaidi. Hata hivyo, kama ilivyotokea kwa matukio ya nyuma, lazima isombe watu. Hata hivyo, kwa mara nyingine napongeza msimamo wa Serikali. Jamii yetu imelelewa kimayai mayai sana. I ekuwa legelege aka mdebwedo. Lazima apatikane mtu wa kutunyoosha! Magufuli kiboko ya wazembe. Watatukana sana. Wataandika sana na watapiga kelele sana. Ila hapo wamefika mwisho.

Rais wetu ana kazi kubwa ya kujenga Ma flyovers, reli, mabomba ya mavuta, mabarabara na kuimarisha uchumi wa nchi. Hawezi kupoteza muda kujibizana na masuala ya kipuuzi. Hapa Kazi Tu.

mdogo wangu ...flyovers na barabara zina faida gani kwa watu ambao hawana uhuru,katiba ba sheria hazifuatwi? BTW umejiuliza ziko financed na nini?

Jifunzeni nini kilitokea kwa Ghadafi rais wa Kuwait

Lakini Pia kwa maelezo yako hayo kuhusu kina Lugola...Basi na kina mwakyembe pia walienda na rundo la vielelezo bandia ili kuwaangamiza wenzao
 
Mpaka sasa hivi anachofanya ni kufungua miradi iliyotafutwa na JK,hana alichokifanya toka aingie madarakani zaidi ya kumpigia kifua Jambazi Makonda.
Ndio maana ya kupokezana vijiti.Ingekuwa mbaya sana kama angetupilia mbali hiyo miradi ya Kikwete
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nchi za Libya na Misri ziliingia kwenye machafuko kutokana na tamaa za watu wachache na kwa sababu za kijinga jinga. Tanzania tumeanza kunyemelewa na hali hiyo pale tuliporuhusu watu wachache tena wengi wao hawapo nchini wakatawala bongo zetu.

Wakati wa sakata la ESCROW, baadhi ya mawaziri akiwemo Profesa Muhongo walijiuzulu kwa sababu tu ya msukumo kutoka kwa wabunge waliokuwa na maslahi binafsi na hoja hiyo. Nakumbuka mjadala mzito uliotawala kushinikiza Prof Muhongo ajiuzulu. Na alifanya hivyo baada ya kelele kuzidi. Hata hivyo, Rais Magufuli alipoingia madarakani akalazimika kumtejesha tena Muhongo kwenye wizara ile ile. Watu wakavimba mpaka wakapasuka. Sasa mambo ya epoa na umeme unasambaa vijijini.

Lilipokuja sakata la Operesheni TOKOMEZA baadhi ya Mawaziri walitolewa mbuzi kafara. Ni kutokana na kelele za akina Kangi Lugola ambao walienda na rundo la vielelezo bandia ili kuwaangamiza wenzao.

Limekuja suala la madawa ya kulevya. Makonda kaasisi mapambano hayo na sasa Tume ya Kamishna Sianga inafanya kazi kwa wepesi zaidi. Hata hivyo, kama ilivyotokea kwa matukio ya nyuma, lazima isombe watu. Hata hivyo, kwa mara nyingine napongeza msimamo wa Serikali. Jamii yetu imelelewa kimayai mayai sana. I ekuwa legelege aka mdebwedo. Lazima apatikane mtu wa kutunyoosha! Magufuli kiboko ya wazembe. Watatukana sana. Wataandika sana na watapiga kelele sana. Ila hapo wamefika mwisho.

Rais wetu ana kazi kubwa ya kujenga Ma flyovers, reli, mabomba ya mavuta, mabarabara na kuimarisha uchumi wa nchi. Hawezi kupoteza muda kujibizana na masuala ya kipuuzi. Hapa Kazi Tu.
mkuu hata kuwa chizi nako ni msimamo tosha. kwa hiyo, yes, naunga mkono hoja yako!
 
Uko sahihi kabisa mkuu.. Tunahitaji viongozi wenye msimamo thabiti kwa maslahi ya taifa!

Muhimu: kujiamini na misimamo visiwe katika mambo ya kijinga, maana kuna watu wanafanya vitu vya kijinga lakini wanajiamini haswa na misimamo isiyotetereka!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nchi za Libya na Misri ziliingia kwenye machafuko kutokana na tamaa za watu wachache na kwa sababu za kijinga jinga. Tanzania tumeanza kunyemelewa na hali hiyo pale tuliporuhusu watu wachache tena wengi wao hawapo nchini wakatawala bongo zetu.

Wakati wa sakata la ESCROW, baadhi ya mawaziri akiwemo Profesa Muhongo walijiuzulu kwa sababu tu ya msukumo kutoka kwa wabunge waliokuwa na maslahi binafsi na hoja hiyo. Nakumbuka mjadala mzito uliotawala kushinikiza Prof Muhongo ajiuzulu. Na alifanya hivyo baada ya kelele kuzidi. Hata hivyo, Rais Magufuli alipoingia madarakani akalazimika kumtejesha tena Muhongo kwenye wizara ile ile. Watu wakavimba mpaka wakapasuka. Sasa mambo ya epoa na umeme unasambaa vijijini.

Lilipokuja sakata la Operesheni TOKOMEZA baadhi ya Mawaziri walitolewa mbuzi kafara. Ni kutokana na kelele za akina Kangi Lugola ambao walienda na rundo la vielelezo bandia ili kuwaangamiza wenzao.

Limekuja suala la madawa ya kulevya. Makonda kaasisi mapambano hayo na sasa Tume ya Kamishna Sianga inafanya kazi kwa wepesi zaidi. Hata hivyo, kama ilivyotokea kwa matukio ya nyuma, lazima isombe watu. Hata hivyo, kwa mara nyingine napongeza msimamo wa Serikali. Jamii yetu imelelewa kimayai mayai sana. I ekuwa legelege aka mdebwedo. Lazima apatikane mtu wa kutunyoosha! Magufuli kiboko ya wazembe. Watatukana sana. Wataandika sana na watapiga kelele sana. Ila hapo wamefika mwisho.

Rais wetu ana kazi kubwa ya kujenga Ma flyovers, reli, mabomba ya mavuta, mabarabara na kuimarisha uchumi wa nchi. Hawezi kupoteza muda kujibizana na masuala ya kipuuzi. Hapa Kazi Tu.

Ili Taifa liendelee, linahitaji Kiongozi mkweli, mtenda haki, msikivu, asiye mnafiki, asiye na jazba wala upendeleo wa wazi wazi, Rais Magufuli hajatupa somo.
 
Hili taifa liende ende tu mbele bila mpango maalumu kama gari bovu kwenye mterenko, sio tu linahitaji kuwa na viongozi wa ovyo bali vile vile pia linahitaji kuwa na wananchi wengi wenye akili za nyumbu kama mleta mada.
 
Kuwa na msimamo tu haitoshi, maana kama msimamo yenyewe ndio hiyo ya kulinda criminals, ya kuchakachua au ya one man show hatufiki kokote, tutaishia hapo hapo magogoni.
 
Mpaka sasa hivi anachofanya ni kufungua miradi iliyotafutwa na JK,hana alichokifanya toka aingie madarakani zaidi ya kumpigia kifua Jambazi Makonda.
Tushawazoea team hakuna jema. Kila kitu ni kudharau na kupinga tu
 
Back
Top Bottom