Usiwe umenunua vyeti vya Daud BashiteWakuu hebu tuelimishane, ili kueteuliwa kuwa RC unahitaji elimu ya kiwango gani?
MsukumaWakuu hebu tuelimishane, ili kueteuliwa kuwa RC unahitaji elimu ya kiwango gani?
ReallyKiwango chochote cha elimu dunia ambayo haijaambatana na kughushi kwa vyeti!! Remember, mtu akigushi cheti cha elimu atakuwa ameghushi na cheti cha kuzaliwa vile vile!!!
NmeipendaKamakonda kanawasumbua saaana, hamkawezi kale, kamekaa pembeni kananawacheki tu , mnaongeaaaa muda unaenda, na salary kanapata, na majukumu ya vyeti mnavyosema hakijaonyeshwa hata photocopy yake, ushahidi wa kitu uuonekane, sio kusemasema tu amefoji, toeni ushahidi, acheni maneno. Na cheo cha mkuu wa mkoa sio cha kuomba, ni kuteuliewa, mlaumuni aliemteua akaacha kuangalia vyeti, yeye hakuomba kazi, hiyo. Yeye katajwa na kuombwa kufanya kazi hiyo, sasa Nani alikuambia aliambiwa alete cheti cha. Form four, ? Ebaba eh huyu jamaa ni mchapa kazi tu, we acha mambo ya cheti, ukiona utufurahishe tulete photocopy tujiridhishe ili tuanze kumjaji makonda, kaacheni kadogo kapumzike, MAKONDA OYEEE
Angalau umerudia darasa la 4 mara mbiliWakuu hebu tuelimishane, ili kueteuliwa kuwa RC unahitaji elimu ya kiwango gani?
Kama elimu ya kiwango chako tu wala sio ishu sanaWakuu hebu tuelimishane, ili kueteuliwa kuwa RC unahitaji elimu ya kiwango gani?
Tujarbu kuwa waelewa mtoa uzi anaulza elimu inayopaswa awe nayo mkuu wa mkoa...so yeyote yule Tz hajamtaja jna mtu so ww jbu n level gan ya elimu husjbu husoulzwa ndomana twafeli mitihan
Sio swala la elimu kiwango gani ?? Awe ametumia vyeti vyake yeye mwenyewe.sio vya kuazima..hata mama alikua na bashite. Viwe vya kwake.Wakuu hebu tuelimishane, ili kueteuliwa kuwa RC unahitaji elimu ya kiwango gani?
Added qualification: Uwe umefeli mtihani wa darasa la nne zaidi ya mara moja.Uwe umemaliza darasa la nne na unajua kusoma na kuandika.