Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,456
- 9,890
Juzi kulitokea ajali ya bus mbeya, watanzania wenzetu wakafariki na wengine kuumizwa vibaya.
Jana napo imetokea ajali ya bus mbeya na kuua watanzania kadhaa.
Leo napo morogoro kuna ajali ya bus na lori imetokea na kuua tena watanzania.
Serikali kama imeshindwa kuweka utaratibu wa kuwadhibiti hawa madereva mtu pekee anaeweza kuwadhibiti ni boss wao, sasa ni easy tu, serikali imbane huyo boss.
Nashauri serikali iweke sheria kwamba endapo ajali itatokea na ikagundulika bus au lori la kampuni fulani ndio limesababisha ajali basi kampuni hio ifungiwe kufanya kazi ndani ya miezi sita.
Kama swala la matumizi mabaya ya mafuta tu linawafanya maboss wa haya magari kuwa makini na madereva wao basi endapo ikiwepo sheria ya kuwafungia baada ya ajali umakini huohuo watauhamisha kuhakikisha madereva wao wanaendesha magari hayo kwa ustaarabu na kufuata sheria za barabarani na kanuni bora za uendeshaji.
Kama msanii anafungiwa miezi sita hadi mwaka kisa tu kuweka maudhui mtandaoni ambayo hayajaua watu, kwa nn msifungie kampuni zinazosababisha vifo vya watu?
Na nyinyi wanaharakati uchwara (Pascal Mayalla johnthebaptist na wengineo) haya ndio mambo ya kupigia kelele. Mwanaharakati mmoja anaetukana viongozi matusi ya nguoni akipotea mtapiga kelele hadi kwenda mahakamani lkn watu 10 wasio na hatia wakifariki hamuwezi hata kuongea na kuishinikiza serikali itengeneze sheria kali za kuwaashibu hawa wamiliki wa haya magari.
Inauma sana basi tu. Ngoja niishie hapo.