Ili Kujenga CHADEMA ya kushindana na CCM ya sasa, Tafuteni uongozi mpya, Waondoeni Mwenyekiti Mbowe, Makamu Mwenyekiti Lissu na Katibu Mnyika

Ni ukweli mchungu kwa kwa Makamanda wa Chadema, na hakuna Kamanda atakayekubali kuwa Chadema ya sasa imekwisha, haina uwezo wa kuleta upinzani kwa Chama tawala ambacho kimepata Makamu Mwenyekiti mpya.

Kila movement ambayo CHADEMA mnafanya kwa sasa inafeli vibaya saana, Join the chain imefeli vibaya saana, Chadema ya sasa inazidiwa hata na ACT ya bwana yule. CHADEMA ya kweli ilikuwa ile ya Dr Wilbroad Slaa tu, baada ya hapo CHADEMA imekuwa ikijongea kaburini kidogo kidogo na msipo anza upya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 Chama chenu hakitakuwa na utofauti na kile chama cha yule jamaa wa kugawa ubwabwa kwenye mikutano ya kampeni.

Mheshimiwa Freeman Mbowe, kama Mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa ni muda wake wa kupumzika, amekifanyia mambo makubwa CHADEMA na atakumbukwa kwa mchango wake katika siasa za upinzani, lakini Mheshimiwa Mbowe kwa sasa hana jipya la kuweza kuwaambia Watanzania wakakiunga mkono CHADEMA, hakuna Mtanzania atakayeunga mkono siasa za matukio, Vijana wengi sasa ni wasomi wanaotaka sera na sio matukio, Mbowe alikifaa Chama kipindi hicho cha siasa za harakati. CHADEMA mnahitaji Mwenyekiti mpya na hii itakuwa njia bora ya kuonyesha mna demokrasia ya kweli, Mkipata mwenyekiti mpya atajenga CHADEMA ili kuja kushindana na CCM miaka 15- 20 ijayo.

Ndugu John Mnyika , kama katibu wa CHADEMA , najua makamanda wote mnajua ukweli kuwa Mnyika mnamlazimisha tu kuendelea kuwa Katibu wa Chama lakini yeye muda mrefu amekuwa anataka kupumzika, Mnyika si mtu wa siasa za kiharakati wala si muumini wa siasa za matukio. Mnyika yule wa kujenga hoja akili yake sasa iko mapumzikoni mwili tu umebaki CHADEMA, Mnyika hawezi kukisaidia CHADEMA kwa sasa. Mnyika ameamua kukaa kimya, ni bora mkamuacha apumzike tafuteni Katibu mpya wa kuweza angalau kufikia uwezo wa Komredi Chongolo

Ngugu Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama, huyu ni Muumini wa siasa za kiharakati na siasa za matukio ambazo kwa sasa hazina nafasi katika Tanzania inayoendesha Siasa za kistarabu, siasa za utu na kuheshimiana, CCM wamepata Makamu Mwenyekiti hodari na nguli wa siasa za Tanzania, CHADEMA mnahitaji kupata Makamu Mwenyekiti ambaye ana weza fikia hata robo ya uwezo wa Kinana, najua ni ngumu kumpata mtu mwenye uzoefu na uwezo wa Komredi Kinana. Muacheni Ndugu Lissu aendelee na ajira yake UN, kwa aliyopitia ndugu yetu Lissu anahitaji muda mwingi wa kupumzika na kumtumikia Mwenyezi Mungu.

Siasa za kwenye mitandao huko the space na twitter hazitawasaidia kwa sasa.

Kuanza upya haijawahi kuwa vibaya, hata yule ndugu yenu wa ACT alikubali kuanza upya.

MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU MBARIKI RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN.
Kaanzishe chama chako kiwe na makamu mwenyekiti na mwenyekiti pia katibu utakao wataka wewe. kipambane na ccm.ya sasa, inches chadema kama ilivyo na viongozi waliòridhiwa na wanachadema.
 
Mamba mla watu mwenye njaa anapomshauri binadamu namna ya kuvuka mto salama 😁😁
 
Toka watanzania wapigwe na kitu kizito unaweza kuwaeleza ni jambo gami lililotekelezwa kwenye ilani?
Kuboresha Elimu ya Msingi kwa kujenga shule za Sekondari mpya 257,shule za msingi mpya 9, ujenzi wa madarasa 18,219, ujenzi wa matundu ya vyoo 5872, ujenzi wa vyumba vya maabara 1,399, ukamilishaji wa maboma ya vyumba vya madarasa 4,525, Kuboresha huduma za Afya kwa kujenga hospital mpya 28, ujenzi wa vituo vya Afya vipya 288, ujenzi wa Zahanati mpya 615, nyumba za Watumishi 400,majengo ya wagonjwa mahututi 26, majengo ya huduma za dharura 80, Huo ndio utekelezaji wa Ilani ambao umefanyika ndani ya muda wa mwaka mmoja tu.
 
Ni ukweli mchungu kwa kwa Makamanda wa Chadema, na hakuna Kamanda atakayekubali kuwa Chadema ya sasa imekwisha, haina uwezo wa kuleta upinzani kwa Chama tawala ambacho kimepata Makamu Mwenyekiti mpya.

Kila movement ambayo CHADEMA mnafanya kwa sasa inafeli vibaya saana, Join the chain imefeli vibaya saana, Chadema ya sasa inazidiwa hata na ACT ya bwana yule. CHADEMA ya kweli ilikuwa ile ya Dr Wilbroad Slaa tu, baada ya hapo CHADEMA imekuwa ikijongea kaburini kidogo kidogo na msipo anza upya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 Chama chenu hakitakuwa na utofauti na kile chama cha yule jamaa wa kugawa ubwabwa kwenye mikutano ya kampeni.

Mheshimiwa Freeman Mbowe, kama Mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa ni muda wake wa kupumzika, amekifanyia mambo makubwa CHADEMA na atakumbukwa kwa mchango wake katika siasa za upinzani, lakini Mheshimiwa Mbowe kwa sasa hana jipya la kuweza kuwaambia Watanzania wakakiunga mkono CHADEMA, hakuna Mtanzania atakayeunga mkono siasa za matukio, Vijana wengi sasa ni wasomi wanaotaka sera na sio matukio, Mbowe alikifaa Chama kipindi hicho cha siasa za harakati. CHADEMA mnahitaji Mwenyekiti mpya na hii itakuwa njia bora ya kuonyesha mna demokrasia ya kweli, Mkipata mwenyekiti mpya atajenga CHADEMA ili kuja kushindana na CCM miaka 15- 20 ijayo.

Ndugu John Mnyika , kama katibu wa CHADEMA , najua makamanda wote mnajua ukweli kuwa Mnyika mnamlazimisha tu kuendelea kuwa Katibu wa Chama lakini yeye muda mrefu amekuwa anataka kupumzika, Mnyika si mtu wa siasa za kiharakati wala si muumini wa siasa za matukio. Mnyika yule wa kujenga hoja akili yake sasa iko mapumzikoni mwili tu umebaki CHADEMA, Mnyika hawezi kukisaidia CHADEMA kwa sasa. Mnyika ameamua kukaa kimya, ni bora mkamuacha apumzike tafuteni Katibu mpya wa kuweza angalau kufikia uwezo wa Komredi Chongolo

Ngugu Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama, huyu ni Muumini wa siasa za kiharakati na siasa za matukio ambazo kwa sasa hazina nafasi katika Tanzania inayoendesha Siasa za kistarabu, siasa za utu na kuheshimiana, CCM wamepata Makamu Mwenyekiti hodari na nguli wa siasa za Tanzania, CHADEMA mnahitaji kupata Makamu Mwenyekiti ambaye ana weza fikia hata robo ya uwezo wa Kinana, najua ni ngumu kumpata mtu mwenye uzoefu na uwezo wa Komredi Kinana. Muacheni Ndugu Lissu aendelee na ajira yake UN, kwa aliyopitia ndugu yetu Lissu anahitaji muda mwingi wa kupumzika na kumtumikia Mwenyezi Mungu.

Siasa za kwenye mitandao huko the space na twitter hazitawasaidia kwa sasa.

Kuanza upya haijawahi kuwa vibaya, hata yule ndugu yenu wa ACT alikubali kuanza upya.

MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU MBARIKI RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN.
Kwahiyo kumbambikia Mbowe kesi bandia na kumtupa gerezani na kumnyima dhamana bado hamjalizika?

Halafu mwamba bado yuko imara na wala hateteleki.

Nilitegemea muwashauri mawakala wenu Mrema na Cheyo ambao hata kutembea tu hawawezi wanatetemeka hao ndio mlipaswa muwashauri wapumzike muweke vibaraka wapya wenye damu changa kama kibaraka wenu Zitto Kabwe ambao myawatumia kwa miaka 20 ijayo. Kwa Mbowe mnapoteza muda wenu kile ni chuma cha puwa.
 
Kamwe hatuwaondoi ni viongozi majasiri na wenye weledi mkubwa sana ndio maana mnabuni mbinu za kuwamaliza kila uchwao na mkisikia majina yao tu mnajinyea!
 
Ni ukweli mchungu kwa kwa Makamanda wa Chadema, na hakuna Kamanda atakayekubali kuwa Chadema ya sasa imekwisha, haina uwezo wa kuleta upinzani kwa Chama tawala ambacho kimepata Makamu Mwenyekiti mpya.

Kila movement ambayo CHADEMA mnafanya kwa sasa inafeli vibaya saana, Join the chain imefeli vibaya saana, Chadema ya sasa inazidiwa hata na ACT ya bwana yule. CHADEMA ya kweli ilikuwa ile ya Dr Wilbroad Slaa tu, baada ya hapo CHADEMA imekuwa ikijongea kaburini kidogo kidogo na msipo anza upya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 Chama chenu hakitakuwa na utofauti na kile chama cha yule jamaa wa kugawa ubwabwa kwenye mikutano ya kampeni.

Mheshimiwa Freeman Mbowe, kama Mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa ni muda wake wa kupumzika, amekifanyia mambo makubwa CHADEMA na atakumbukwa kwa mchango wake katika siasa za upinzani, lakini Mheshimiwa Mbowe kwa sasa hana jipya la kuweza kuwaambia Watanzania wakakiunga mkono CHADEMA, hakuna Mtanzania atakayeunga mkono siasa za matukio, Vijana wengi sasa ni wasomi wanaotaka sera na sio matukio, Mbowe alikifaa Chama kipindi hicho cha siasa za harakati. CHADEMA mnahitaji Mwenyekiti mpya na hii itakuwa njia bora ya kuonyesha mna demokrasia ya kweli, Mkipata mwenyekiti mpya atajenga CHADEMA ili kuja kushindana na CCM miaka 15- 20 ijayo.

Ndugu John Mnyika , kama katibu wa CHADEMA , najua makamanda wote mnajua ukweli kuwa Mnyika mnamlazimisha tu kuendelea kuwa Katibu wa Chama lakini yeye muda mrefu amekuwa anataka kupumzika, Mnyika si mtu wa siasa za kiharakati wala si muumini wa siasa za matukio. Mnyika yule wa kujenga hoja akili yake sasa iko mapumzikoni mwili tu umebaki CHADEMA, Mnyika hawezi kukisaidia CHADEMA kwa sasa. Mnyika ameamua kukaa kimya, ni bora mkamuacha apumzike tafuteni Katibu mpya wa kuweza angalau kufikia uwezo wa Komredi Chongolo

Ngugu Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama, huyu ni Muumini wa siasa za kiharakati na siasa za matukio ambazo kwa sasa hazina nafasi katika Tanzania inayoendesha Siasa za kistarabu, siasa za utu na kuheshimiana, CCM wamepata Makamu Mwenyekiti hodari na nguli wa siasa za Tanzania, CHADEMA mnahitaji kupata Makamu Mwenyekiti ambaye ana weza fikia hata robo ya uwezo wa Kinana, najua ni ngumu kumpata mtu mwenye uzoefu na uwezo wa Komredi Kinana. Muacheni Ndugu Lissu aendelee na ajira yake UN, kwa aliyopitia ndugu yetu Lissu anahitaji muda mwingi wa kupumzika na kumtumikia Mwenyezi Mungu.

Siasa za kwenye mitandao huko the space na twitter hazitawasaidia kwa sasa.

Kuanza upya haijawahi kuwa vibaya, hata yule ndugu yenu wa ACT alikubali kuanza upya.

MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU MBARIKI RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN.
Hizi bangi hizi,yaani upo ccm,ni kada wa ccm,lakini unajua "what is best for Chadema"really!!!ur fucking kidding me!
Mbowe ndio Bora na atatuvusha kwa sasa,mmeishaanza kuogopa,ktk uchaguzi wa haki,
Ccm hamtoboi
 
Ili muwanunue

Kama Malaika JIWE alishindwa kuving'oa hivyo VYUMA nani tena anaweza

Zidumu fikra za Mbowe, Lissu na Mnyika mna vitanda vyenu mbinguni

Zitto nayeye je !!??
 
Tangu ufundishwe kuunda vibonzo Sasa,imekuwa tabu🐜
Nimekuelewa 👇

images (54).jpeg
 
Kujenga nchi tunahitaji upinzani Imara, sio upinzani huu wa sasa uliopotea
Hivi kumbe huoni yaliyojiri . Uchaguzi wa kuiba kura 2020 .uliona moto wake ?. Wasingemshikilia mbowe kwa visingizio vyote hivyo. Takwimu zinaonyesha kuwa uchaguzi ukiwa huru na HAKI kwa Mara ya kwanza wapinzani wanachukua . Swala si sera pekee za chama . Watu wameichoka kijani . Magufuli ilikuwa ndiyo risasi ya ccm ya mwisho . Tusubiri uone
 
Ni ukweli mchungu kwa kwa Makamanda wa Chadema, na hakuna Kamanda atakayekubali kuwa Chadema ya sasa imekwisha, haina uwezo wa kuleta upinzani kwa Chama tawala ambacho kimepata Makamu Mwenyekiti mpya.

Kila movement ambayo CHADEMA mnafanya kwa sasa inafeli vibaya saana, Join the chain imefeli vibaya saana, Chadema ya sasa inazidiwa hata na ACT ya bwana yule. CHADEMA ya kweli ilikuwa ile ya Dr Wilbroad Slaa tu, baada ya hapo CHADEMA imekuwa ikijongea kaburini kidogo kidogo na msipo anza upya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 Chama chenu hakitakuwa na utofauti na kile chama cha yule jamaa wa kugawa ubwabwa kwenye mikutano ya kampeni.

Mheshimiwa Freeman Mbowe, kama Mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa ni muda wake wa kupumzika, amekifanyia mambo makubwa CHADEMA na atakumbukwa kwa mchango wake katika siasa za upinzani, lakini Mheshimiwa Mbowe kwa sasa hana jipya la kuweza kuwaambia Watanzania wakakiunga mkono CHADEMA, hakuna Mtanzania atakayeunga mkono siasa za matukio, Vijana wengi sasa ni wasomi wanaotaka sera na sio matukio, Mbowe alikifaa Chama kipindi hicho cha siasa za harakati. CHADEMA mnahitaji Mwenyekiti mpya na hii itakuwa njia bora ya kuonyesha mna demokrasia ya kweli, Mkipata mwenyekiti mpya atajenga CHADEMA ili kuja kushindana na CCM miaka 15- 20 ijayo.

Ndugu John Mnyika , kama katibu wa CHADEMA , najua makamanda wote mnajua ukweli kuwa Mnyika mnamlazimisha tu kuendelea kuwa Katibu wa Chama lakini yeye muda mrefu amekuwa anataka kupumzika, Mnyika si mtu wa siasa za kiharakati wala si muumini wa siasa za matukio. Mnyika yule wa kujenga hoja akili yake sasa iko mapumzikoni mwili tu umebaki CHADEMA, Mnyika hawezi kukisaidia CHADEMA kwa sasa. Mnyika ameamua kukaa kimya, ni bora mkamuacha apumzike tafuteni Katibu mpya wa kuweza angalau kufikia uwezo wa Komredi Chongolo

Ngugu Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama, huyu ni Muumini wa siasa za kiharakati na siasa za matukio ambazo kwa sasa hazina nafasi katika Tanzania inayoendesha Siasa za kistarabu, siasa za utu na kuheshimiana, CCM wamepata Makamu Mwenyekiti hodari na nguli wa siasa za Tanzania, CHADEMA mnahitaji kupata Makamu Mwenyekiti ambaye ana weza fikia hata robo ya uwezo wa Kinana, najua ni ngumu kumpata mtu mwenye uzoefu na uwezo wa Komredi Kinana. Muacheni Ndugu Lissu aendelee na ajira yake UN, kwa aliyopitia ndugu yetu Lissu anahitaji muda mwingi wa kupumzika na kumtumikia Mwenyezi Mungu.

Siasa za kwenye mitandao huko the space na twitter hazitawasaidia kwa sasa.

Kuanza upya haijawahi kuwa vibaya, hata yule ndugu yenu wa ACT alikubali kuanza upya.

MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU MBARIKI RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN.
Pumbavu zako, haondoki mtu hapa. Unataka aje Mwambie au Kitila au Zito. Rubbish!
 
Wewe jamaa huijui chadema umekurupuka hiki ni chama Cha wachaga walikiasisi wakati wanakunywa mbege baada ya kujua kuwa hawewezi kupewa urais kwa sababu za ukabila wao

USSR
Jiwe anakuita uende haraka
 
Hii ni point kubwa sana wakati wao wanalia CCM kubaki madarakani Kwa Muda mrefu wanasahau kwamba Viongozi wao wako madarakani Kwa Muda mrefu Kwa kisingizio kwamba wanaogopa Mamluki wasipandikizwe kwenye chama,

Ndo hivo hivo hata CCM wataendelea kuwa madarakani Kwa kisingizio cha kuogopa Mamluki kupandikizwa kwenye nchi Kwa Mgongo wa Upinzani!

Wananchi wanataka mabadiliko chanya siyo hasi , wakipata chama makini CCM inaondoka ila sasa bado wana hisi na CDM bado sana,

ACT hao ndo wachanga Kabisa ..

Acheni janja janja fanyeni taratibu wananchi wawaamini,

Mwenye kiti tu kuitwa Mwenyekiti hataki kuachia Miaka 25 sasa je akiitwa Mheshimiwa Rais si atakaa miaka 40?

We don’t believe you and we don’t trust you

Jenga misingi muaminike

Britanicca
Unamaanisha;

Kwamba Chadema wakibadilisha uongozi ndio mtaacha kuiba kura?

Kwamba huwa mnaiba kura kwasababu hamuwapendi viongozi waliopo sasa wa Chadema?

Umeandika hoja ya kitoto sana.

Kama nyie hamuwaamini viongozi waliopo sasa Chadema sioni tatizo, watanzania wanawaamini ndio maana huwapa kura zao, na kuficha kwenu aibu mkaona mzuie na mikutano ya siasa.
 
Back
Top Bottom