Ile unaingia tu chumbani alipolala mwanao

Hapo una create negative vibrations kwahiyo badala ya kwenda kwa mtoto atarudi kwako full full....mwenye spidi ndio atamuwahi mwenzake
Yah,ndo lengo la kumrukia ili anigeukie mimi aachane na mtoto.na wakati huo uwezo wa kumumudu upo kwakuwa mimi nimejiandaa kukabiliana naye wakati huo yeye atakuwa kwanza kwenye mshtuko.
 
e43b8c7754482666a353da7ffa81d1ae.jpg
Chukua maziwa fresh, weka mdomoni, halafu pulizia, nyoka ataondoka mwenyewe then jina la mtoto litakuwa sawa na jina la nyoka husika.
 
Mungu ni waajabu sana ,kwenye mazingira hayo huyo mtoto anaweza asidhurike jamaa akasepa zake kimya kimya kosa ni kumshtua

Tatizo la hawa wadudu wanatabia ya kujificha,ukiondoka ukarudi ukakuta mtoto yupo salama alafu huyo nyoka hayupo,niamini utakiogopa hicho chumba au nyumba kuliko unavyomuogopa nyoka,yaani hata ukiguswa na shuka tuu utahisi ndio yeye!
 
Angemkuta mtoto wa simba asingemfanya kitu...halafu kumbuka wanyama wana visasi vibaya na hawasahau mfanyie noma leo lakini baada ya miaka kadhaa akikutana hata na maiti yako lazima ailetee figisu

Kuna kisa kwenye mbuga moja ya wanyama mtalii alimgonga sokwe kwa gari na kumuua. Alivyorudi kambini sokwe walikuja usiku wakaipondaponda hiyo gari na kumfuata kwenye chumba alicholala kumdhuru. Bahati yake askari wanyama pori kumnusuru.

Pia ni kweli wanyama wengi (wa kike) hawawadhuru watoto wa wanyama wengine akiwemo binadamu. Kuna kisa cha simba jike ambaye aliishi na mtoto wa swala hadi kilipokufa kwa njaa kikimwacha simba akiwa amekonda kwa njaa.
 
Chukua maziwa fresh, weka mdomoni, halafu pulizia, nyoka ataondoka mwenyewe then jina la mtoto litakuwa sawa na jina la nyoka husika.
Mmmh ama kweli elimu haina mwisho nitajaribu siku moja kufanya hivi
 
@ mshana jr: Ukitaka kujaribu fanya hiyo iwe kweli au nenda maeneo yenye nyoka ukajidai na chupa za maziwa fresh.

Ila ukweli nyoka hawanywi maziwa na ikitokea wakayanywa watakufa kwa kuwa hawana uwezo wa kuyameng'enyua (digest). Yawezekana basi harufu ya maziwa 'fresh' ikamwondoa nyoka.
 
Ooh ok ok nina project yangu inayohitaji nyoka kama kumi hivi nitafanya hilo jaribio kisha nitalitafiti mrejesho hapa (sio utani)
 
Mkuu sidhani kama ni nyoka wote., vipi kuhusu yule nyoka kichaa Black mamba?? niliona video moja anapita akakuta simba kafa lakini akagonga kama mara mbili hivi then akatembea. Sasa kama yule akimkuta mtoto na ametoka kula majani yake ya bangi si anafanya yake then anasepa??
Uwa najiuliza kwa nn black mamba anasumu kali sana kuzidi cobra alafu black mamba mkorofi
 
Ooh ok ok nina project yangu inayohitaji nyoka kama kumi hivi nitafanya hilo jaribio kisha nitalitafiti mrejesho hapa (sio utani)

Moja ya njia halali ya kukusanya takwimu (valid data construct) jipake maziwa utembee kwenye hilo shamba lako, au!
 
Ukishaona ivooo wew ondokaa nenda kanunue juic ya ukwaju endelea kunywa...baada ya masaa kama matano ivii rudi tena chumbani nyoka atakuwa keshasepa zake
 
Huyu nyoka dawa yake mletee yule kiumbe anaitwa Honey badger utaona anakufa kabla...honey badger anampiga nyoka yeyote pigo moja tu chali..iwe cobra au hata black mamba wote wanapigwa balaa...
Mkuu saa hiyo hata huyo honey badger utamkumbuka? Maskhara hayo....
Na kwanza utamtolea wapi huyo mnyama?
 
Mbona huyo ni kama mende tu baba'ake?
Huku kwetu Bumera huwa wanaingia ndani usiku wakati wa baridi kisha asubuhi unawafukuza kama kuku tu basi...!
 
Back
Top Bottom