Ilani ya CCM na utekelezaji wake 2017-2025

Wachina kununua tani mil 2 za muhogo kila mwaka
Kazi kwako kulima
704f786d9a91c74b87649f5ec04930dbFS.jpg
IMG_8595.JPG
muhogo.jpg

Wachina kununua tani mil 2 za muhogo kila mwaka | East Africa Television
 
Kiwanda cha kusindika matunda cha Azam. Changamkieni fursa. Lima matunda au uajiriwe kiwandani
24.jpg
download.jpg
IMG_2898.JPG
IMG_3245.JPG
 
Ukamilishaji Wa Mradi Wa Maji Ya Bomba Tabora toka ziwa victoria
 
Jibu swali.
Nimekuuliza uelewe huwezi ukajibiwa kama hujui maana ya PPP. Maana swali lako lime base kwenye comment uliyo quote kuhusu maelezo yangu ya PPP. Sasa kama hujui PPP ni vigumu kukueleza. Inatakiwa uwe unapitia sera za serikali zipo kwenye tovuti za serikali ndio utaelewa naongelea nini badala ya kukaa tu kwenye mitaandao bila kujishughulisha.
Je, unajua maana ya PPP?
 
Kwanini usianzishe thread ya kukokotoa faida zinazotoka na miradi mizuri ya serikali?
Sina haja ya kufanya hivyo sababu tayari wewe umeshaanzisha hii. Haitoshi kutoa orodha ya miradi, unatakiwa uende mbali zaidi na utoe pia real world impact ya hiyo miradi.
Ulichofanya ni sawa na wimbo wao kwenye kampeni kwamba, "tuliahidi, tumetekeleza" lakini ukitafuta impact halisi huoni. I think it's high time we moved beyond this tendency to seek cheap publicity and focus on being objective.
Kwa nini, kwa mfano, hakuna miradi yoyote ya muda mrefu inayoelekezwa kwenye sehemu zenye umasikini ili ilenge kubadili maisha wa wakazi wa maeneo hayo? Miradi mingi inahudumia Dsm directly and indirectly, lakini kwa nini isisambazwe maeneo mengine ili impact isambae na hizo fursa zifike huko?
 
Sikia nikuelimishe kidogo.
Hapo nimeweka miradi inayosaidia jamii moja kwa moja
Mf: Madawati, Hospitals, Kiwanda cha kuua vidudu vya malaria, Maji toka mwanza kwenda tabora nk. Hii ni miradi inayogusa watu moja kwa moja

Nimeweka miradi inayo chukua product za wananchi. Hii inatakiwa mwananchi yeye aweze kushughulika sio kukaa tu
Mf: China kutaka tan 2M za muhogo, Bei ya korosho kupanda nk. Hii inatakiwa sasa wewe ulime mihogo
Miradi inayo ajiri watu, Hapa inaajiri moja kwa moja kwenye viwanda au kwenye shughuli zinazofanya viwanda vifanye kazi
Kupika chakula kwa wafanyakazi wa viwanda
Kuajiriwa moja kwa moja kwenye viwanda
Madreva nk.

Miradi inayofanya miradi mingine iende.
Mfano: Njia kuu ya umeme 400KV
Umeme kinyerezi II 240MW
Usambazaji wa umeme vijijini REA (Kwamba vijana wanaweza kujiajiri)

Sasa wewe huwezi ukatumia japo akili kidogo tu uweze kung'amua?
Au unataka uletewe pesa home bila kufanya kazi?
 
Sijui wewe lakini mimi sihitaji niletewe hela na mtu sababu I earn my own money. Tatizo ni kwamba huelewi kwa nini nchi hii imeshindwa kupiga hatua na inapitwa na nchi zingine nyingi.
Serikali zako hizo za CCM zimeshindwa kuwekeza kwenye elimu ya Watanzania ndiyo maana kuna umasikini na watu wanashindwa kupiga hatua kutokana na kwamba elimu yetu haifungui vichwa bali inavifunga.
Kwa hiyo hata hizo fursa unazosisitiza watu wazichangamkie ni kazi bure sababu ili wafanikiwe watahitaji kuwa wameelimika vinginevyo huu uchumi wa kichuuzi na kimachinga hautaisha.

Back
Top Bottom