Ikulu imelipia matangazo ya moja kwa moja (live) ya Dr Magufuli?

So TBC ni yenu wana CCM, kwanini msiwe mnatumia gharama zenu za chama?
Kwa mikutano yetu tunalipia,kuna wakati kinana alishatoa risiti hadharani
Mi nadhani mngetafuta katibu bora wa kuwavusha hadi 2019,vinginevyo mtapata matokeo mabovu tokea muanzishe chama
 
Hawa wamiliki wa vyombo vya habari nao ni wanafiki tu, wanarusha hotuba kwa ofa, kwa nini wasitoe ofa ya kurusha matangazo ya bunge live? Kwanza mu
 
Kwa mikutano yetu tunalipia,kuna wakati kinana alishatoa risiti hadharani
Mi nadhani mngetafuta katibu bora wa kuwavusha hadi 2019,vinginevyo mtapata matokeo mabovu tokea muanzishe chama
Naona unatumia vizuri ujira wako wa buku 7. Ni lini mlilipa nyie kitu au mnaweza kulipa nini TZ hii.

Badilisheni jina la TBC muite CCM TV
 
Bwana mkubwa anataka atazame bunge live mchana, kazi anafanya usiku?. Huu uvivu tunaoufuga unatuzalishia umasikini wa miaka mingi ijayo.
 
Back
Top Bottom