Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,603
- 42,859
Hao wanaodanganya mamlaka wana nia mbaya na hii nchi ..Watu binadamu ni wabaya!, wamemuingiza cha kike, eti kuna watu wanapanga uhaini!, mtanisamehe mimi ni Tomaso!, I just don't believe this lies!, na sitatizwi na uongo wao, natatizwa na what is their motive behind!.
Naendelea kusisitiza View attachment 3098950
P