IGP Mangu kajitofautisha na wengine

Huyu wa kwetu kapandishwa cheo kwasababu ya......! Tanzania raha sana
Kapandishwa cheo kwa kuzingatia miiko ya kazi yake na kuitekeleza bila kujali huyo anayelumbana naye ni nani. Kwa mwendo uliokuwepo tangu awamu zilizopita, jambo hili lilikuwa " unfathomable"- lisilofikirika!!
 
Kwa hiyo baadhi ya Watanzania wakisema jamaa huwa anakurupuka kujitafutia sifa zisizo na maana huwa hawakosei.
Ivi Rais ana haja kutafuta sifa, wakati kuwa Rais ni sifa tayari, maajabu ulimwengu kwa walimwengu sidhani kama anatafuta sifa.
 
Wasi wasi wangu isije kuwa tanawalisha maneno, hatimae kuwachonganisha.
 
Angekuwa hana sababu basi za kukurupuka na kutoa matamko bila kutafakari kwa kina. Kukurupuka kwake ni dalili tosha za kutaka sifa. Angalia hili la kumpandisha cheo Askari bila kufuata taratibu za jeshi hilo. Angefuatilia kwa Mangu bila kukurupuka kwenye media, sasa kaadhirika kwa Mangu kumwambia hawapandishi vyeo kiholela kisa tu kutukanwa.

Ivi Rais ana haja kutafuta sifa, wakati kuwa Rais ni sifa tayari, maajabu ulimwengu kwa walimwengu sidhani kama anatafuta sifa.
 
2fe51b60bc890fc5ed71e5ac80e9d941.jpg
Ni jambo ambalo linaweza kumgharimu lakini at least amesimamia utawala wa sheria
Kwenye sakata la askari aliyedai kutukanwa na mke wa waziri Mahiga, Magufuli aliuagiza uongozi wa jeshi kumpandisha cheo mara moja askari huyo kama morali kwa wengine
Lakini IGP Mangu amekosoa kiaina uamuzi huo kwa kusema kwamba hana taarifa rasmi lakini hata hivyo atakapozipata itabidi askari mhusika aende mafunzoni kwanza
Hapa maana yake ni kwamba huko mafunzoni akifeli asahau kupanda cheo cha matusi! Mangu amesimamia taratibu na kanuni hii itampa heshima kubwa...nimejaribu kujiuliza ingekuwa ni Makonda Magesa na wengine wangeweza kufanya hivi kweli? Jibu ni hapana kwakuwa wamepewa vyeo kama zawadi, Mangu ni professional na kaitendea haki profession yake
cheo cha matusiii.umetisha mshanaa
 
Hivi humu mnafahamu kwamba ni raisi peke yake anaweza kumpandisha askari yeyote cheo chochote kwa wakati wowote kwa jinsi atakavyoona inafaa na asiwepo mtu wa kumpinga.

Tofauti ya vyeo vya kijeshi ni kwamba,baada ya agizo la kupandishwa cheo kinachofuata ni kozi kwa askari husika, kwa vyeo ambavyo ni vya kupigia kozi.

Ambavyo mwisho huwa ni nyota tatu,juu ya hapo mtu anavishwa cheo chochote baada ya tamko tu la raisi.

Sasa ninachokiona hapa ni udaku tu wa magazeti.IGP hawezi sema hivi akiwa anajua mamlaka ya raisi kwenye chombo anachokiongoza.

Huyu askari kwa sasa anasubiri kozi tu.
 
Kwan yule jamaa aliyewadhibiti majambazi pale Ubungo kipindi kile, alienda mafunzon ndiyo akapandishwa cheo? SMH!
Yes,tena ilichukua muda sana,kwenye majeshi hakuna cheo bila mafunzo,lakin pia mambo ya kutangaza jukwaani mpandishe huyu cheo ni ya kisiasa,kazi ya askari n kufuata sheria sasa unampandisha cheo kwa kufuata sheria?nothing extraordinary, yule wa Ubungo angalau maana hakuwa na bunduki ila alifanya ushujaa wa ziada
 
Hivi humu mnafahamu kwamba ni raisi peke yake anaweza kumpandisha askari yeyote cheo chochote kwa wakati wowote kwa jinsi atakavyoona inafaa na asiwepo mtu wa kumpinga.

Tofauti ya vyeo vya kijeshi ni kwamba,baada ya agizo la kupandishwa cheo kinachofuata ni kozi kwa askari husika, kwa vyeo ambavyo ni vya kupigia kozi.

Ambavyo mwisho huwa ni nyota tatu,juu ya hapo mtu anavishwa cheo chochote baada ya tamko tu la raisi.

Sasa ninachokiona hapa ni udaku tu wa magazeti.IGP hawezi sema hivi akiwa anajua mamlaka ya raisi kwenye chombo anachokiongoza.

Huyu askari kwa sasa anasubiri kozi tu.
Kila sehemu duniani kuna taratibu zake,kwa upande wa majeshi huwa ni mwendo wa kozi hata President aseme nini,narudia pitia changamoto majeshi yalipopita kipindi cha nyuma,hakuna kupanda cheo kirahisi,naamn hata mpandishwaji anaelewa hili,ila wewe RAIA kama Mimi ndo kichwa ngumu
 
Poa
 
JF noma sana!
Unajua kilichomkuta Kamanda mmoja wa USA kwa kupishana Kauli na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama!
Tangazo la Raisi ni Amri hali hitaji taarifa ya Kimaandishi na hasa hili la majeshi ya Ulinzi na Usalama!

Hata mimi nashangaa!!! Kama kweli Mangu ametoa kauli hiyo in Public basi kuna kitu anajiamini si bure.

Kwani yeye kama afisa wa ngazi ya juu katika jeshi la Polisi anataka kutwambia kwamba hajui Kauli/Amri ya Rais ni final - uwezi kumwambia Commander in Chief eti afuate taratibu ikiwezekana kwa maandishi - mimi nachukulia sakata hili kama ni insurbonation iliyo pitiliza mipaka - Mataifa ya wenzetu ukipishana kauli na Head of State/Commander in Chief anakutimua kazi on the spot na kukuvua vyeo vyote.
 
Siyo kusubiri kutimuliwa unafaa ujitimu mwenyewe na apology in Public!
 
Hata mimi nashangaa!!! Kama kweli Mangu ametoa kauli hiyo in Public basi kuna kitu anajiamini si bure.

Kwani yeye kama afisa wa ngazi ya juu katika jeshi la Polisi anataka kutwambia kwamba hajui Kauli/Amri ya Rais ni final - uwezi kumwambia Commander in Chief eti afuate taratibu ikiwezekana kwa maandishi - mimi nachukulia sakata hili kama ni insurbonation iliyo pitiliza mipaka - Mataifa ya wenzetu ukipishana kauli na Head of State/Commander in Chief anakutimua kazi on the spot na kukuvua vyeo vyote.
Mkuu,taja nchi ya dunia ya kwanza ambayo raisi anaweza kutoa agizo la kumpandisha cheo askari jukwaani,ukisikisia yule wa marekan katimuliwa ni kwasababu alipinga sera flani,tukio Kama hili hili kikwete alifanya nini.?ataenda kozi ,ni utaratibu,Nyerere alitaka kupinduliwa kisa kuna watu waliona wengine wanapewa vyeokirahisi,majeshi hayawez kurudia makosa
 
Kiswahili sanifu ni AMIRI JESHI usiweke tena neno MKUU kwasababu neno AMRI ni neno la kiaraabu likimaanisha neno MKUU, kwa hiyo ukisema AMIRI JESHO MKUU ni sawa na kusema BARABARA YA MOROGORO ROAD

Dah safi sana kamanda, maneno mengi tunatamka kwa mazoea tu lakini ukiangalia usanifu wake utagundua makosa mengi sana... Tuendelee kuelimishana.
 
Mi nafikiri hata kama atapitia mafunzo ili cheo kipande na yenyewe ni nafasi kwa hiyo kupata nafasi ya mafunzo kawezeshwa na tamko la Raisi so akishindwa kufaulu mafunzo basi yeye ndio failure kwani atakuwa kashindwa kuitumia nafasi...
 
Na hii ndio point ya Mangu
 
Back
Top Bottom