Ifikie wakati sasa watanzania tuache unafki wa kumfurahia Joti na uigizaji wake wakishoga

joti haigizi ushoga ila anaigiza kama mwanamke na anaigiza ambayo yapo kwenye jamiii so sio mbayaa

Kazi ya msanii ni kuigiza yaliyoko kwenye jamii.

Wasanii wanaigiza mpaka mashetani na Mungu na Yesu leo unataka kuwazuia??

Joti anaigiza kama mwanamke na sio shoga, umeshawahi kuona anapapaswa masaburi??

Au hujui nini maana ya shoga??

Kwanini wasisajili wanawake kwenye comedy groups zao?
 
S
[QUOTE="SAUTI YAKO, post: 16682116, member: 203mtoa ]Huna Kwa kiswahili humanisha umekosa ,una kwangu umanisha unayo .faiza foxy karibu bib Yetu tukinyoshe kiswahili[/QUOTE]
Sasa hapo umekosoa nini Mkuu? Nimemaaninisha kuwa aliyepost hii habari amesema cha maana. Hiyo "huna" umeniwekea mdomoni
 
Kwa kweli ifikie wakati tuchukuwe hatua ya kuchukia vitendo vya kishoga si tuu kwa kuwachukia mashoga bali hata vitendo vinavyo ashiria ushoga, why Msanii mkubwa kama Joti ane igiza kama shoga siku zote na hatulalamiki wakati tunajua fika kwamba Msanii ni kioo cha jamii! Sasa Joti anapoigiza kama Shoga hivi anawafundisha nini watoto wetu!
Serekali ipige marufuku kabisa usaniii wa kijoti!
Kwani Joti anaigiza kama mwanamke? au kama shoga?
 
Suala la kupendeza au kutopendeza ni suala la preference tu mkuu.

Ukifuatilia toka enzi za zamani waigizaji wa kitanzani walikuwa wanaigiza kama wanaume au wanawake.

Shule za msingi , vikundi vya uigizaji na vinginevyo vilikuwa vinaigiza tu hakukuwa na shida.

Kwa nini leo iwe tabu na ionekane haipendezi??

Tatizo ni la Joti au la jamii kuwa na mitazamo ya kishoga shoga??

Huyo Jot angekua ana show moja au mbili amejifanya dada ningeona Poa, lakini naona kama kazidisha! Hapo ndio inapo poteza maana
 
Kwa kweli ifikie wakati tuchukuwe hatua ya kuchukia vitendo vya kishoga si tuu kwa kuwachukia mashoga bali hata vitendo vinavyo ashiria ushoga, why Msanii mkubwa kama Joti ane igiza kama shoga siku zote na hatulalamiki wakati tunajua fika kwamba Msanii ni kioo cha jamii! Sasa Joti anapoigiza kama Shoga hivi anawafundisha nini watoto wetu!
Serekali ipige marufuku kabisa usaniii wa kijoti!
Hebu fafanua yeye huwa anaact kama msichana yaani anachukua role ya msichana sidhani yeye anaact kama shoga
 
mwingine huwa anaigiza na majuto afadhali wakina joti huyu anaigiza ushoga kabisa na chanel 10 wanapenda sana kuonyesha maigizo yao
 
Back
Top Bottom